zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sawa sawa mkuu kwa hao VOA wanasema kweli wametekwa wakapelekwa Rwanda?Kwani mara ngapi M23 wamekuwa neutralised Mkuu? Kuisambaratisha maana yake kituo cha mwisho kiwe Rwanda.
Na ni suala la muda tu litafika!
Ila nikutoe hofu Mkuu, jeshi letu lipo vizuri.
Magu aliliamuru jeshi liingie Kibiti baada ya polisi kishindwa kazi.
Kuna jamaa mmoja ana shabaha sana! Alipambana na wale magaidi baada ya askari kadhaa kujeruhiwa baada ya kufanyiwa ambush.
Hakukimbia alipambana peke yake mpaka mwisho na magaidi walikaa. Mwamba aliwapukutisha lakini alijeruhiwa mkono. CDF (mstaafu) alimtunuku nishani.
Kibiti sasa imetulia! Mtwara imetulia. Hata Kigoma kutulia ni kwa sababu ya Jwtz.
Unakumbuka Warundi walileta michezo yao mapori ya Kagera? Walitajana mpaka kwenye kambi zao huko ukimbizini.
Kwa vile jeshi letu falsafa yakw ni ya siri ndiyo maana mambo mengi hatafahamiki.