Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Narudia tena! Hakuna kitu kama hicho!Jeshi la Tanzania ni moja katika majeshi ya SADC na wote wamesharudishwa Rwanda, promo za kuipigia jeshi mpunguze
Na ukitaka uthibitisho wa hilo kuna maswali muhimu ambayo unabidi ujiulizie!
PK hawezi kucheza reckless game kama hiyo! Ya kukamata wanajeshi wa nchi nyengine na kundi ambalo linalofahamika ni waasi na ambalo mara zote mwenyewe amekuwa akikanusha kuwasaidia.
Mnamuita jasusi mwenye akili hawezi kucheza game ya kitoto kama hiyo!
Na Kingine jiulize kwa nini taarifa hiyo ipo VOA peke yake? Mbona vyombo vingine havitaarifu mfano BBC swahili?
Rwanda inatumia propaganda machine.