Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Hii itakuwa aibu kubwa sana
Kagame anachezesha watu kanyabazenze kuonyesha kwamba nyinyi wote vidagaa wadogo tu hamna mnachoweza mimi ni Baba yenyu niliebakia kwa sasa unaona hivi viwana jeshi vyenu navikamata na kuvirudisha kwenyu hii Goma na Kivu ya Kasikazi ni ya kwangu nyinyi haiwahusu
 
Rwanda haiwezi kuishinda Tanzania hata kidogo na yenyewe inajua. Rwanda itachakazwa kwa muda mfupi.

Rwanda kitu ambacho anachoweza kufanya labda kulenga maeneo muhimu nchini na kuleta uharibifu! Kutuletea hasara. Ila vita kama vita haifui dafu.
Ila watanzania tunajua kujipa promo sasa si hao wamedakwa wamepelekwa Rwanda au unadhani hao waliopelekwa Rwanda hakuna wanajeshi wa Tanzania?
 
Source: VOA Radio.

Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.

Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.

MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.
Kkkmae,hivi kwanini wasivamie Rwanda kumtia adabu huyo anaekosesha amani watu wa Congo?!kwamba kagamee kashindikana na nchi zote au pia hao m23 wameshindikana kabisa?naona kama wanamchekea huyo gaidi kagame,na kwann hao M23 hawaitwi kundi la kigaidi na kagame kubwa la magaid? Najuta kwann nilikimbia jeshi walah
 
Au VoA wanataka kuzichonganisha Tanzania na Rwanda na SA na nchi nyingine ili Mradi wa mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga usitekelezwe? Maana sidhani kama Paul ni reckless kiasi hicho!
Rwanda imefungulia mashine propaganda nyingi sana kwenye mitandao. Zinatoa habari za uongo mpaka bhasi!

Hata humu wapo! Wanachokifanya ni kama Ukraine ilichokiwa inakifanya kwa Russia kwa kuzalisha taarifa nyingi za propaganda.

Hao VOA kama kweli wametoa hiyo habari baadaye watakuja kuomba radhi au wana manufaa yao kama uliyoyasema.
 
Jeshi la Tanzania ni moja katika majeshi ya SADC na wote wamesharudishwa Rwanda, promo za kuipigia jeshi mpunguze
 
Nimejaribu kufuatilia huu mgogoro na nimegundua kuwa kagame Huwa anasingiziwa tu kuwa anahusika.Sababu kuu ni udhaifu serikali ya congo kutatua huo mgogoro unaosababishwa na ukabila
 
Rwanda haiwezi kuishinda Tanzania hata kidogo na yenyewe inajua. Rwanda itachakazwa kwa muda mfupi.

Rwanda kitu ambacho anachoweza kufanya labda kulenga maeneo muhimu nchini na kuleta uharibifu! Kutuletea hasara. Ila vita kama vita haifui dafu.
Kwa sababu hawajawahi kuingia field tusiombe itokee
 
Ka nchi kadogo kana sumbua makubwa jinga, jamaa kawekeza sana kwenye ujasusi na jeshi while sisi tume wekeza kuuza resources na kulinda royal families
 
Nimejaribu kufuatilia huu mgogoro na nimegundua kuwa kagame Huwa anasingiziwa tu kuwa anahusika.Sababu kuu ni udhaifu serikali ya congo kutatua huo mgogoro unaosababishwa na ukabila
Kwa hio Kagame anasema wale M23 sawa wanaongea Kinyarwanda ila sio Wanyarwanda sababu ni wale wanyarwanda ambao wakati wa vita kipindi kile walikimbilia Uganda sasa waliporudi baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe kuisha wakaanza kung'ang'ania maeneo ya upande wa Congo wakisema ni maeneo yao, sasa swali kwanini wanashirikiana na Rwanda?
 
Back
Top Bottom