Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Ila watanzania tunajua kujipa promo sasa si hao wamedakwa wamepelekwa Rwanda au unadhani hao waliopelekwa Rwanda hakuna wanajeshi wa Tanzania?
Suala siyo kujipa promo suala ndiyo uhalisia.

Kinachoigharimu Tanzania ni kuwa mambo yake mengi huwa inafanya siri. Mfano kinachoendelea Mtwara watanzania wengi hawajui na wala haikutangazwa. Lakini kilochokuwa kinandelea huko shughuli yake ni nzito.

Kuna kipindi hao magaidi walikuwa wanapiga halafu wanakimbilia Msumbiji kwa kudhani kuwa Tanzania itashindwa kushambulia kwa kuwa mashambulizi hayo yatafahamika ni kama kushambulia mipaka ya nchi nyengine.

Lakini Tanzania ilipiga huko huko mpaka Msumbiji wakalalamika.

Rwanda ni nchi ya kawaida. Isipokuwa ina mashine inayosambaza propaganda kwenye mitandao ili kuwatisha majirani zake kisaikolojia. Ila ni weupe!

Rwanda inapigwa vizuri sana na wao wanalijua hilo! Watakachofanya wao ni kulenga maeneo muhimu ya nchi ili kututia hasara ikiwa kama vita itatokea baina ya mataifa haya mawili.
 
Nimejaribu kufuatilia huu mgogoro na nimegundua kuwa kagame Huwa anasingiziwa tu kuwa anahusika.Sababu kuu ni udhaifu serikali ya congo kutatua huo mgogoro unaosababishwa na ukabila
Hawa M23 wanapata silaa na pesa wapi?
 
Hii vita ita isha punde tu Kagame aatakapo ingia cha kike na kuchezea kifiro. Hapi ndipo itakua mwisho wa hii migogoro.
 
Suala siyo kujipa promo suala ndiyo uhalisia.

Kinachoigharimu Tanzania ni kuwa mambo yake mengi huwa inafanya siri. Mfano kinachoendelea Mtwara watanzania wengi hawajui na wala haikutangazwa. Lakini kilochokuwa kinandelea huko shughuli yake ni nzito.

Kuna kipindi hao magaidi walikuwa wanapiga halafu wanakimbilia Msumbiji kwa kudhani kuwa Tanzania itashindwa kushambulia kwa kuwa mashambulizi hayo yatafahamika ni kama kushambulia mipaka ya nchi nyengine.

Lakini Tanzania ilipiga huko huko mpaka Msumbiji wakalalamika.

Rwanda ni nchi ya kawaida. Isipokuwa ina mashine inayosambaza propaganda kwenye mitandao ili kuwatisha majirani zake kisaikolojia. Ila ni weupe!

Rwanda inapigwa vizuri sana na wao wanalijua hilo! Watakachofanya wao ni kulenga maeneo muhimu ya nchi ili kututia hasara ikiwa kama vita itatokea baina ya mataifa haya mawili.
Sawa nimekubari ndio maana nasema hizi promo hizi ndio sawa tuna jeshi kweli imara na salama sasa km kweli jeshi letu lina nguvu na imara linashindwa nini kwenda kuwasambaratisha wale vibwengo kule?
 
Hawa M23 wanapata silaa na pesa wapi?
Ndani ya jeshi la congo kunawanaofanya uasi na kutoroka na vifaa vingi vya kivita baada ya kuona serikali kuwabagua baadhi ya kabila.Na kunawafanyabiashara wakubwa ambao hawakubaliani na maovu ya serikali wanaamua kuwasaidia hao waasi
Hawa M23 wanapata silaa na pesa wapi?
 
Rwanda imefungulia mashine propaganda nyingi sana kwenye mitandao. Zinatoa habari za uongo mpaka bhasi!

Hata humu wapo! Wanachokifanya ni kama Ukraine ilichokiwa inakifanya kwa Russia kwa kuzalisha taarifa nyingi za propaganda.

Hao VOA kama kweli wametoa hiyo habari baadaye watakuja kuomba radhi au wana manufaa yao kama uliyoyasema.
Baaasi umemaliza usiseme tena
 
Back
Top Bottom