Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Source: VOA Radio.

Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.

Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.

MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.
Kama jwtz hawamo basi hap wengine watekwe tu hakuna namna.
 
Habari inasema hivyo na inashangaza.
Au VoA wanataka kuzichonganisha Tanzania na Rwanda na SA na nchi nyingine ili Mradi wa mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Tanga usitekelezwe? Maana sidhani kama Paul ni reckless kiasi hicho!
 
Naona Mnyaruwanda umekuja kwa kas..

Tunawafurumisha wote kuanzia juu then tunaenda hapo Kigali...
Kigali inalindwa na advance technology weapon systems hamkiwezi sogeza pia mbele ya iron dome!😁😁😁
 
Attachments

  • 5943640-bc1ac2f6f9acf569b984240552df4966.mp4
    1.2 MB
Daaah waendelee kuwashilia,nina hesabu zangu, ntapambana nichaguliwe kwenda kuwakomboa mana hizo pisi za kitusi ni kuzilomba mwanzo mwenga ,, Gun shooter tuombee hili.
 
Kigali inalindwa na advance technology weapon systems hamkiwezi sogeza pia mbele ya iron dome!😁😁😁
Oh! Tulikuwa kule na Ukraine vs Urusi, baadaye tukaingia pale Gaza ya Wapalestina (HAMAS), tena tukaunganisha juu kwa juu tukaingia Lebanon ya Hezbollah (IDF vs Kobaaz) , then Congo DRC vs M23 lakini kwa mbaali; ila sasa naona tunaelekea Kigali vs Dsm. Ngoja tukusanye habari. Ila huko sio kuzuri tutashindwa kutiririka.
Hiyo Iron dome ni kwa angani. Je, kwa ardhini haumuoni PK akiomba poo??
We subiri kama ikitokea JW waanze kukinukisha.
 
Yani mkapigane na rwanda kwa silaha za kununuliwa na dalali lugumi😁😁😁😁
 
Imekuwaje kuwaje mpaka wakatekwa na kuluna, wakati wao wanapata mafunzo yote, silaa wanazo, na wanalipwa vizuri mishahara na posho?​
 
Back
Top Bottom