Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Labda wakupandikize chip!Nakubaliana na hoja yako, kwa sasa kuna kubuni kifaa ambacho kinaweza ku scan mawazo yako yote na siri ulizonazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wakupandikize chip!Nakubaliana na hoja yako, kwa sasa kuna kubuni kifaa ambacho kinaweza ku scan mawazo yako yote na siri ulizonazo.
Kwa hio unataka kusema VOA wanachofanya ni propaganda?M23 wana hasira na watanzania
Wangewadaka wangewapeleka mjini akhera mapema sana!
Sisi huku tumelala; wenzetu wako bize maabaraLabda wakupandikize chip!
Numbers, labda wamezidiwa numbers na firepower.sasa walifuata nin huko , adui akija wana cease fire badala ya kupeleka moto mzito
Dah! Mkuu umri wako tafadhali. Hausomagi au hata husikiagi huko kijiweni kwenu yaliyojiri kwa mtawala mmoja wa nchi ya Uganda aliyekuwa akiitwa Iddi Amin Dada? au vita ya Kagera 1978? Ila najua ukiulizwa simba na yanga utataja mpaka ma-reserves.JWTZ ni wazuri kwa watu ambao hawana silaha.
Kufunga mtaa na kuchapa watu ovyo kisa mwanajeshi kapigwa na raia.
Wanaingia mtaani kusaka watu waliovaa nguo zinazofanana na sare za jeshi😀😀😀😀
Ulivyoona wanajeshi wanapasua matofali kwa kichwa ukajua wapo vizuri? Kule kibiti wanakuta raia hawana hata bunduki wanakamata na kuua😀😀😀😀
Kule muzee mtu anabunduki halafu upo uwanja wa vita, hili eneo wapo M23, wakisikia umekanyaga hata mti, chuma😀😀😀😀
Basi imetosha sitaki kuongea tena iishe km ilivyoisha ila nimeeleweeka ingawa sijamaanisha ukivyomaanisha sijafikiri km ulivyofikiri tumetofautiana kimtazamo ulichokiona sicho nilichokiona nilichokisema sicho nilichomaanisha, tafakariDah! Kwa hiyo wanaouliwa ndo uthibitisho kwamba wanapambana? Nani alikwambia kwamba wanajeshi huwa hawajifichi? Unadhani vita ni sawa na mieleka? Eti uonekane.
Halafu bro. hebu uwatake radhi wanajeshi wa Tz (JW)kwa kuwakejeli eti wanacheza karata na draft huko machakani ndo mana hawafi. Kweli!!????
(Heshima hainunuliwi)
wanatekwa, na wanapelekwa kigali kwa kagame, that means kagame ndio boss wa m23. kwanini wasipelekwe uganda au burundi?Source: VOA Radio.
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Wanajeshi wa SADC wanatoka Tanzania, Malawi na South Africa.
MYTAKE: Wasiwasi wa Kagame nadhani ana wasiwasi kuwashikilia Watanzania gerezani kunaweza kusababisha Tanzania kutuma kikosi kigali kuwakomboa Askari wa JWTZ.
Unaonekana una akili za zamani sana. Wewe ni mzee kiufupiDah! Mkuu umri wako tafadhali. Hausomagi au hata husikiagi huko kijiweni kwenu yaliyojiri kwa mtawala mmoja wa nchi ya Uganda aliyekuwa akiitwa Iddi Amin Dada? au vita ya Kagera 1978? Ila najua ukiulizwa simba na yanga utataja mpaka ma-reserves.
Usijiweke tanzania,jwtz haikuhusuNumbers, labda wamezidiwa numbers na firepower.
Ili ngoma iwe sawa tungepeleka JW 5000 na silaha nzito halafu supply line yetu tunailinda na Askari 500.
Na hilo nalo ni logistically nightmare.
Hapo ingekuwa sawa.
Kwahiyo ghafla umekuwa Immigration officer?!Usijiweke tanzania,jwtz haikuhusu
Wewe lako rpf na m23Kwahiyo ghafla umekuwa Immigration officer?!
Mbona wewe habari zako za kusifia Waarabu sijawahi kukutuhumu?Wewe lako rpf na m23
Baki na m23,usijihusishe na jwtz,haikuhusuMbona wewe habari zako za kusifia Waarabu sijawahi kukutuhumu?
Njoo na HOJA kama huna kaa kimya.
Hunijui sikujui, tumekutana tu hapa JF juzi ulikuwa unawashabikia Magaidi wa Hamas sijawahi kusema kuwa wewe ni Mwarabu na kwamba rudi kwenu kwenye njaa YemenBaki na m23,usijihusishe na jwtz,haikuhusu
Sio kwamba ni KMKM wala urojo ndio walipelekwa.Hili jeshi letu lilianza kunipa ukakasi kwa aina ya vijana waliokuwa recruited huko jeshini...
Hawa hawa chief,tofauti na wazamani...mimi siwaamini niwe mkweli.Sio kwamba ni KMKM wala urojo ndio walipelekwa.
Hili lifanyiwe kazi, vijana wenye Passion na jeshi ni muhimu sana,Hili jeshi letu lilianza kunipa ukakasi kwa aina ya vijana waliokuwa recruited huko jeshini...wengi mtizamo wao ni ajira kama ajira. Vijana wenye wito hasa wapo tu mtaani,huko wanaenda kwa kujuana...nina jamaa zangu ni wanajeshi, nje ya gwanda na ID zao walaini tu,mmoja alipigwa ngumi hio na bodaboda mpaka alizimia.
Wenye passion,baada ya jkt wanakosa ajira jwtz wanapelekwa SUMA jkt huko ,au wanarudi kwenye makampuni ya ulinzi...wenye connection,wabovu wanaenda JWTZ.Hili lifanyiwe kazi, vijana wenye Passion na jeshi ni muhimu sana,