Tetesi: Inadaiwa Makumi ya Askari jeshi wa SADC watekwa Congo na kupelekwa Kigali

Wanaoingia jeshini inabidi wapende jukumu hilo.
 
Kwa hio wamewadaka kweli wakawapeleka Rwanda? Dharau gani hizo lakini?
Hawaja wa daka na wala hawaja wapeleka Rwanda mkuu, habari zingine ni upotoshwaji tu. Habari iliyokuwa ina trend ni kwamba wana jeshi wa SOUTH AFRICA ndio wali salenda dhidi ya M23. Ila sio JWTZ pia habari nyingne ni kwamba kuna kikosi cha wana jeshi kutoka Ufaransa na pia Romania kilikuwepo hapo Goma kuwasaidia wana Jeshi wa Jeshi la Congo. Hao pia wali amuriwa kuondoka haraka hapo na walifanya hivyo.
 
Mhh! Hukunielewa. Hebu tulia urudie kusoma tena. Nimeangalia weledi na uzoefu wa JW dhidi ya majeshi ya PK a.k.a. Rwanda.
Nimesha kusoma , nilikurupuka. Upo sahihi na dhani kwa weledi na utaalamu mimi naliamini jeshi langu la JWTZ yaani naamini kabisa Rwanda kana akiyakanyaga ana futwa vizuri tu.
 
Mtangazaji wa VOA Kgali anaripoti wanajeshi wengi wa SADC wametekwa na M 23 na kusafirishwa hadi Kigali.
Rais Kagame kaamuru wanajeshi wa SADC Warejeshwe makwao haraka. Inaripotiwa pia wanajeshi 800 wa SADC na Congo wameuliwa na M 23.
Huyu ni mchokozi anachokitafuta atakipata
 
Nimesha kusoma , nilikurupuka. Upo sahihi na dhani kwa weledi na utaalamu mimi naliamini jeshi langu la JWTZ yaani naamini kabisa Rwanda kana akiyakanyaga ana futwa vizuri tu.
Exactly Yes.
 
Unaandika huku umejificha Jamii forum. Akili ulizonazo ndizo zilizomponza marehemu Gadhafi
Pale Congo kuna mali na kuna mikono ya watu. Sasa wewe nenda kwa kutumia akili ya vita vya 1978. Mtarudi kwenye majeneza mpk mshangae.
Unavyoona JWTZ wakipiga raia ovyo na kufunga barabara, kuingia mtaani kusaka watu wanaovaa nguo zinazofanana na sare za jeshi ndiyo unaona ndiyo jeshi imara?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wenye jeshi lenye akili na nguvu huwezi kuona wanafunga mtaa kupiga raia au kusaka sare za nguo zinazofanana na jeshi mtaani
 
Sijasema kitendo cha JWTZ kupiga raia ovyo au kufunga barabara ndo kigezo cha Jeshi Imara. Hapana.
Nimesema sioni kama kuna sababu yenye maslahi kwa Tz kuingia vitani dhidi ya M23 ndani ya Congo DRC au
 
Jeshi la kupasua mawe kwa vichwa na kukalia misumari 😁😁😁
mnaropokwa tu wakati mnakula mnashiba mnajamba ma ushuzi usiku kucha huku wanaume wenzenu walio shika silaha wanakesha kulinda makalio yenu afu mna waita wavunja matofali na mna wakejeli na mko ndani ya hiii ardhi yenye amani usiku na mchana watu kama nyie ni wakukamatwa na kuchinjwa hadharani shiiit
 
Kwamba atapigwa kutokea Tanzania, Burundi na DRC na washirika wote wa SADC. Kasoro Ardhi ya Uganda pekee ndio haitatumika kumpiga
 
Sijasema kitendo cha JWTZ kupiga raia ovyo au kufunga barabara ndo kigezo cha Jeshi Imara. Hapana.
Nimesema sioni kama kuna sababu yenye maslahi kwa Tz kuingia vitani dhidi ya M23 ndani ya Congo DRC au
Mbona ilishaingia kipindi cha JK na kuwafurusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…