figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mheshimiwa Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, amesema kapata taarifa kwamba Mdude Chadema kufikishwa kwenye kituo kimoja wapo cha Polisi Jijini Dar jana Usiku.
KUNA taarifa TUNAFUATILIA kwa ukaribu, kwamba Chadema Mdude alifikishwa kwenye kituo kimoja cha POLISI hapa DAR USIKU wa KUAMKIA leo na kuhamishwa ALFAJIRI ya LEO kupelekwa sehemu isiyojulikana. HALI yake ni MBAYA SANA. Soon UKWELI Utadhihirika!
Hatua mbalimbali ZINACHUKULIWA!
MY TAKE;
Nashauri aanze kutafutwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala. Kwa uzoefu wangu, Wagonjwa wengi ambao huwa wapo Mikononi mwa Polisi huwa wanapelekwa Mwananyamala. Zaidi ya hapo wanapelekwa Muhimbili.
Nazidi kumuomba Mungu amlinde Mdude wasimkatishe pumzi.