Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Najisikia aibu na fedheha kusikia ushamba huu zama hizi.Bora mtangaze vita tujue moja. Mfumo unamnyakua raia asie na silaha kwa nguvu kubwa vlle!? Chozi lake na damu yake vikawe laana kwa watesi na mabwana zao.
 
Halafu wapo viongozi washamba kila weekend wapo madhabauni na wengine hulia kabisa mbele za watu. Uku week days wanauwa watu kisa tu wana maoni tofauti na yao.
sawa wewe wa mjini uliyeshindwa kuweka mazingira ya saccos yenu kimjini mjini
 
Cha ajabu anatokea kiongozi na mabendera yake mifukoni anasema Tz kuna amani???, Wtz tuache ujinga. hii hiyo ni kwasababu yakuchagua mabunge vilaza ya ccm yasiyothamini failia na watu wengine. kama Bunge lingekuwa balanced leo hawa wasiojulikana wangekuwa wamejulikana kupitia Bunge kama mhimili huru. wabunge waccm wapo kutetea ufisadi, sheria mbovu na matumbo yao. Tumechoka bana, hii nchi yetu sote sio ya watu wasiotaka kusemwa wala kukosolewa.

Nape, Mo, Roma tunataka tuone sauti zenu kama sisi tulivyopaza pale mlipoonewa na kutekwa, semeni ukweli mlionao hii ndio itakuwa tiba na hawa watu wapuuzi wanaojiita wasiojukikana huku wakifadhiliwa na PESA yangu nayoichangia kwa ajili ya madawa, maji lkn sivipati zaidi yakuona Wtz wenzangu wakitekwa na kuumia bila sababu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
sheiza

kuna tofauti kati ya kusema ukweli na kutukana. wewe unashabikia matatizo ya binadamu mwenzio, kuteswa/kutolewa uhai kisa matusi ?si kuna sheria? wewe unafikiri anastahili kweli yote hayo, wewe nawe ni binadamu? mamlaka ikifail isiambiwe ukweli? nawahurumia watoto wako.
 
Back
Top Bottom