Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Mheshimiwa Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, amesema kapata taarifa kwamba Mdude Chadema kufikishwa kwenye kituo kimoja wapo cha Polisi Jijini Dar jana Usilu.

KUNA taarifa TUNAFUATILIA kwa ukaribu, kwamba Chadema Mdude alifikishwa kwenye kituo kimoja cha POLISI hapa DAR USIKU wa KUAMKIA leo na kuhamishwa ALFAJIRI ya LEO kupelekwa sehemu isiyojulikana. HALI yake ni MBAYA SANA. Soon UKWELI Utadhihirika!

Hatua mbalimbali ZINACHUKULIWA!

MY TAKE;

Nashauri aanze kutafutwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala. Kwa uzoefu wangu, Wagonjwa wengi ambao huwa wapo Mikononi mwa Polisi huwa wanapelekwa Mwananyamala. Zaidi ya hapo wanapelekwa Muhimbili.

Nazidi kumuomba Mungu amlinde Mdude wasimkatishe pumzi.
Mwananyamala! Hospital yenye laana ya asili?
 
Sasa tunaanza kuwatambua watu wasiojulikana.
Kumbe ni polisi wanaoteka watu!
Maana yake wiki iliyopita kuna wakili mmoja na hakimu walipotea,hawakujulikana walipo kwa wiki nzima.
Baadae DPP alitoa taarifa kwamba wanashikiliwa na polisi.
Tuseme utekajia na mauaji yote yanayofanyika sasa,mhusika mkuu ni jeshi la polisi.
Sasa kuna tofauti gani kati ya jeshi la polisi na MAJAMBAZI?
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua

Yaani akatoe taarifa kwa waliomteka? Umeambiwa kuwa jana usiku alikisgwa kwenye kituo kimohawapo cha Polisi. Halafu unasema akatoe taarifa kituo cha Polisi! Au hujasoma ukaelewa?
 
Kuna thread iliwahi kuletwa kuwa yule Mwenyekiti mruka dhamana alipokuwa ndani, hali likuwa shwari. Na ikasema, kwakuwa ametoka sasa utekaji utaanza punde! There's no coincidence in intelligence!
Uwendawazimu ni ugonjwa ambao wale tu walio wazimu ndiyo humtamvua aliye mwendawazimu jwa maneno au kauli.

Kama una jamaa wa karibu uwaulize kama wanaweza kukusaidia.
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Kazi kweli kweli yaani unaowatuhumu ndio unatakiwa ukaripoti kwao.
 
kwani wanao teka wanatumia bangi?ukweli ni kwamba wote tutakufa tatizo ni muda tu,endeleeni kuuwa na kutesa lakini hata nyie mungu anawasuburi.
 
Familia ya Mdude wana kila sababu na haki ya kuandamana mpaka Wizara ya mambo ya ndani kuulizia uwepo wa ndugu yao. Na sisi tutawaunga mkono all the way!

They have nothing to loose. If anything they have more to gain than otherwise. They could be history in the making!
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Hivi wewe unaweza kuteka mtu na akiwa hoi ukampeleka kituo cha polisi wamuhifadhi? Na asubuhi ukamuhamisha?

Nakuombea mdogo wangu Mdude
 
Herodi alilewa sifa sana akaanguka kama
Mzoga akaliwa na mafunza baada ya kukataa kumrudishia Mungu sifa. Hao wasiojukikana ipo siku watajulikana na watakufa vifo vya ajabu sana. Mwaka huu nimeoteshwa watajulikana. Rais na baraza lake kemeeni huu utejeaji unaofanywa na wanaojipendekeza kwenu. Mungu hadhihakiwi.
 
Halafu wapo viongozi washamba kila weekend wapo madhabauni na wengine hulia kabisa mbele za watu. Uku week days wanauwa watu kisa tu wana maoni tofauti na yao.
Unazungumzia wanaotaka waombewe! ni wachawi majini tu haya!! hata wachungaji wanaowatukuza ni antichrist tu@@@! Sitakanyaga tena kanisani wanakosali bulshit!!
 
Herodi alilewa sifa sana akaanguka kama
Mzoga akaliwa na mafunza baada ya kukataa kumrudishia Mungu sifa. Hao wasiojukikana ipo siku watajulikana na watakufa vifo vya ajabu sana. Mwaka huu nimeoteshwa watajulikana. Rais na baraza lake kemeeni huu utejeaji unaofanywa na wanaojipendekeza kwenu. Mungu hadhihakiwi.
Lkn hao unadai wakemee huo utekaji ndio ma-engineer wa haya yote kama huelewi. Gaidi toka lini akakemea ugaidi.
 
Ilitakiwa ushahidi uwekwe,hali ikiwa mbaya na wakashindwa kucontrol wanapoteza ushahidi!!

Halafu tuna watu kila week za ibada wako mstari wa mbele wakijifanya wapenda haki na wanahofu ya Mungu!!!
Uan ile picha ya jamaa akikusanya sadaka?
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Una uhakika gani kama hao polisi hawashirikiani na watekaji?
 
Back
Top Bottom