Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Hakuna siri ktk dunia hii inayo mulikwa na jua na mwezi natukio likisha husisha watu zaindi ya wawili siyo siri tena tumuweke Mungu mbele tutoapo maamuzi
 
Kuna thread iliwahi kuletwa kuwa yule Mwenyekiti mruka dhamana alipokuwa ndani, hali likuwa shwari. Na ikasema, kwakuwa ametoka sasa utekaji utaanza punde! There's no coincidence in intelligence!
You are calling it "intelligence",!!!??
You are calling yourself "a human being"!!???
 
IMG_20190507_033459.jpeg
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Vyombo vya dola ndiyo vimemteka kwa amri kutoka juu, sasa utoe taarifa polisi kivipi wakati wanahusika katika utekaji. Au ndiyo unajitoa ufahamu tu.
Hapo maelezo yanasema kuna taarifa kuwa alikuwa kwenye kituo cha polisi kimojawapo DSM hivyo polisi wanahusika katika utekaji, kwahivyo ujue kumetokea kuvuja kwa taarifa kwa kiasi fulani ndiyo maana kumepatikana hints kidogo ya kinachoendelea.
 
Mwenyezi Mungu atawaumbua tu watekaji watajulikana tu ,shetani hajawahi kumshinda Mungu .


THAMANI YAKO HUPIMWA KWA MSIBA WAKO



Nimeona kwenye Tv na kwenye mitandao ya kijamii namna maelfu ya watu waliojitokeza kuupokea na kuuaga mwili wa Dr. Reginald Mengi aliyeiaga dunia akiwa huko Dubai.
Wingi wa watu niliouona ndio ulionisukuma kuzama katika tafakari hii kuu;

Kumbe katika haya maisha yetu yote ya uhai hapa duniani pamoja na mambo mengi tunayofanya lipo jambo moja kuu tunalifanya pasipo kujitambua nalo ni KUWAANDAA WATU WATAKAO KUJA KUKUSINDIKIZA SIKU SAFARI YAKO YA MWISHO IKIFIKA? Ndio, kwa sababu idadi ya watu watakaokuja kukusindikiza siku hiyo ya mwisho itafanana na idadi halisi ya watu uliowahi kuwagusa katika maisha yao, itategemea vile ulivyoishi na ulifanya nini kwa watu hao pindi ulipokuwa mzima hapa duniani. Ndio maana wengine huzikwa na watu wachache ikiashiria aligusa watu wachache pia. Thamani ya msiba wako hutengenezwa ukiwa hai... Kifo cha Dr. Reginald Mengi kitufundishe na kutukumbusha kutengeneza thamani ya maisha yetu.

Kama uliwathamini watu katika uhai wako basi hata siku yako ya mwisho itakapofika, wakati huwezi kuona, huongei wala hupumui watu wale uliogusa maisha yao hujitokeza kuelezea wasifu wako. Watakumwagia sifa kem kem, watakuletea zawadi za kila aina, watachangishana mamilioni kwa mamilioni, watakuvika mavazi ya gharama, watakutembeza kwenye magari ya thamani huku wakiimba na kukulilia... Idadi yao itakuwa kubwa kuliko wakati wowote wa uhai wako. Watakuja hata wasiokujua ili mradi tu kama aliwahi kusikia jina lako.

Maisha ya hapa duniani ni mafupi sana hivyo tujifunze kuishi vema na watu ili siku yako itakapofika mwisho watu wale wajitokeze kwa idadi ile ile waje wakuimbie, wakulilie na mwisho wakusindikize na kukuhifadhi kwa heshima!

Ewe ndugu yangu uliyebahatika kusoma ujumbe huu unautumiaje muda wako katika kuwatayarisha watu wa kukusindikiza katika safari yako ya mwisho? Kumbuka thamani yako itapimwa kwa msiba wako!


Iko siku bashite na jiwe watajiuliza hayo hapo juu ila itakuwa wamechelewa badala ya kuliliwa watakuwa wanazomewa kwenye majeneza yao hadi kaburini.
KIBURI KIMEWAJAA, USHETANI UMEWAJAA, UMWAGAJI DAMU,UTESAJI NA JEURI YA MADARAKA.
ILA MAVUMBINI UTARUDI
 
It's gooe that u have told the general public. In case any thing happens to him we know where to start
 
Hilo lilikuwa wazi hata kama asingesema ameshikiliwa na polisi.
 
Naanza kupoteza imani na makanisa, kama vile yanatumika kutawala kama walivyofanya wakoloni kipindi hicho.

Wabobezi akina Walter Rodney wanadai upande mmoja bunduki na upande mwingine dini.

Tusiamini wote wanaoenda kanisani ni wema, ni namna tu ya kuicha maovu.

Kuna nguvu kubwa sana inatumika kuandaa wakati ujao lakini bado sijaelewa vizuri maana miaka kumi ni michache sana kwa haya mambo yanayotokea. Mpaka sasa imebaki 6 kulingana na "African Politics" msiniulize kwanini ndio Afrika yetu ilivyo.

Kwa jicho la sita naona kuna miaka zaidi ya 30 na kuendelea ukiongezea na ile ya warithi bali kwa karne hii naamini itakuwa ndoto kufanya hivyo japo wata jaribu jaribu but they wont reach that far.

Tusubiri tuone.

#Bring Back Mpaluka Mdude Nyagali.
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
"Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri, hamna kasi hapo " Wahenga
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Duuh yaani unaambiwa kaletwa polisi halafu unasema akaripoti polisi.
 
Back
Top Bottom