Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamtafute kwenye mochwari zote!Mheshimiwa Mbunge wa Kawe kupitia CHADEMA, amesema kapata taarifa kwamba Mdude Chadema kufikishwa kwenye kituo kimoja wapo cha Polisi Jijini Dar jana Usiku.
KUNA taarifa TUNAFUATILIA kwa ukaribu, kwamba Chadema Mdude alifikishwa kwenye kituo kimoja cha POLISI hapa DAR USIKU wa KUAMKIA leo na kuhamishwa ALFAJIRI ya LEO kupelekwa sehemu isiyojulikana. HALI yake ni MBAYA SANA. Soon UKWELI Utadhihirika!
Hatua mbalimbali ZINACHUKULIWA!
MY TAKE;
Nashauri aanze kutafutwa kwenye Hospitali ya Mwananyamala. Kwa uzoefu wangu, Wagonjwa wengi ambao huwa wapo Mikononi mwa Polisi huwa wanapelekwa Mwananyamala. Zaidi ya hapo wanapelekwa Muhimbili.
Nazidi kumuomba Mungu amlinde Mdude wasimkatishe pumzi.
Hujasikia majibu ya polisi.!??kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
Ahahahahahaà unazungumzia polisi gani?Siku hizi mtu akikamatwa na polisi ametekwa
chozi la ben sa nane, la azory, Mdude, mwandishi iringa na wale wa viroba wapo, laana zao zitatafuna familia flani hivi , mpaka kizazi cha nne, nasema Mungu haongopi damu hii italilia mtu flani na nzi wote wa kijani wanaosapoti mpaka kizazi cha nneNajisikia aibu na fedheha kusikia ushamba huu zama hizi.Bora mtangaze vita tujue moja. Mfumo unamnyakua raia asie na silaha kwa nguvu kubwa vlle!? Chozi lake na damu yake vikawe laana kwa watesi na mabwana zao.
Kuhusu nini Labda??Mabeyo ametoa tamko lolote?
binafsi sisikitiki kwa lolote wala sifurahii lolote juu ya huyo mtu kupotea kwake yani nipo kawaida sana kama ambavyo mwanzae mmalizae,kwa mtu mwenye akili timamu anajua kwamba hakuna anayependa matusi wala kukejeliwaIla pamoja na kupotea kwake lakini huyu jamaa alikua na matusi sana sio kwa kutukana vile kiongozi wa nchi, leo nimeona moja ya post zake inahusu IMF duuuuh sidhani kama alienda jando huyu kijana.
Mkuu kumtukana rais wako hata kama anamapungufu inaumiza sana.
Tuwe wakweli hakuna anayependa matusi mkuu,tena ya nguoni sio poa kwa mtu naheshima zake.
Mbona wengine wanakosoa waliyoyakusudia pasi na kutumia lugha za matusi.
Watu wanaona matusi ndo ushujaa.
binafsi sisikitiki kwa lolote wala sifurahii lolote juu ya huyo mtu kupotea kwake yani nipo kawaida sana kama ambavyo mwanzae mmalizae,kwa mtu mwenye akili timamu anajua kwamba hakuna anayependa matusi wala kukejeliwa
Mkuu kwani wote wanaotekwa wanatukana matusi...ben saanane alimtukana nani???..azory gwanda alimtukana nani??? Mo dewji alimtukana nani???...Roma mkatoliki alimtukana nani????...kwa hiyo mtu anayetukana matusi yanayouma adhabu yake ndo kutekwa???..adhabu ya mtu anayetukana matusi yanayouma ni kupelekwa mahakamani na kufunguliwa kesi then mahakama ndo inatoa haki but si kutekana tekana...na kama wewe ni kiongozi na unaona watu wanakutukana unaumia acha huo uongozi hakuna atakayetukana na kuhangaika na wewe...mbona ni simple tuMkuu kumtukana rais wako hata kama anamapungufu inaumiza sana.
Tuwe wakweli hakuna anayependa matusi mkuu,tena ya nguoni sio poa kwa mtu naheshima zake.
Mbona wengine wanakosoa waliyoyakusudia pasi na kutumia lugha za matusi.
Watu wanaona matusi ndo ushujaa.
chozi la ben sa nane, la azory, Mdude, mwandishi iringa na wale wa viroba wapo, laana zao zitatafuna familia flani hivi , mpaka kizazi cha nne, nasema Mungu haongopi damu hii italilia mtu flani na nzi wote wa kijani wanaosapoti mpaka kizazi cha nne
Sijasema kama aliyeteka ni kiongozi wa Nchi kwa sababu sina ushahidi huo.Kiongozi wa nchi utakiwi kuwa Na ngozi nyepesi utaumiza wengi.Kumuua MTU sababu kakukosea uleta laana ktk nchi jiulize kwann Africa haiwezi endelea sababu ya laana za damu
Kweli mkuu, umeeleza kama professor kabisa, na laana hizi kwakuwa haw watu hwawambii ndugu zao, zinatafuna sana, watacua, watachuma mamilioni lakini watu wengine watakuja kula hizo hela, DAMU SI MAJI, HAIENI HIVI HIVI, hata Yesu damunyake ndio imekuwa ukombozi kwa waislamu na wakristo kwa pamoja. kwa sisi waislamumtunamwit a issa bin mariamUkiangalia hata wao wanamwaga damu sababu wanatokea koo zenye laana za kumwaga damu hivo ni muendelezo.Huwezi kuta koo smart zisizonuka damu watu wake wakamwaga damu za watu haiwezekani.Ukiona MTU anauwa watu ni Asili ya laana ya ukoo wake
Wapi nimemgusa beni saa nane na hao uliowataja?...mbona huwi muelewa?Mkuu kwani wote wanaotekwa wanatukana matusi...ben saanane alimtukana nani???..azory gwanda alimtukana nani??? Mo dewji alimtukana nani???...Roma mkatoliki alimtukana nani????...kwa hiyo mtu anayetukana matusi yanayouma adhabu yake ndo kutekwa???..adhabu ya mtu anayetukana matusi yanayouma ni kupelekwa mahakamani na kufunguliwa kesi then mahakama ndo inatoa haki but si kutekana tekana...na kama wewe ni kiongozi na unaona watu wanakutukana unaumia acha huo uongozi hakuna atakayetukana na kuhangaika na wewe...mbona ni simple tu
lete matusi mawili tu aliyotukana nikupe vocha ya buku 10.Wapi nimemgusa beni saa nane na hao uliowataja?...mbona huwi muelewa?
Tumzungumzie huyo wa matusi,je kutukana ni sawa kwa tamaduni zeru tena unamtukana raisi wa Nchi?
Naanza kupoteza imani na makanisa, kama vile yanatumika kutawala kama walivyofanya wakoloni kipindi hicho.
Wabobezi akina Walter Rodney wanadai upande mmoja bunduki na upande mwingine dini.
Tusiamini wote wanaoenda kanisani ni wema, ni namna tu ya kuicha maovu.
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kuandaa wakati ujao lakini bado sijaelewa vizuri maana miaka kumi ni michache sana kwa haya mambo yanayotokea. Mpaka sasa imebaki 6 kulingana na "African Politics" msiniulize kwanini ndio Afrika yetu ilivyo.
Kwa jicho la sita naona kuna miaka zaidi ya 30 na kuendelea ukiongezea na ile ya warithi bali kwa karne hii naamini itakuwa ndoto kufanya hivyo japo wata jaribu jaribu but they wont reach that far.
Tusubiri tuone.
#Bring Back Mpaluka Mdude Nyagali.
Kwa hiyo mtu anayetukana adhabu yake ni kutekwa...tuoneshe kwenye hizo sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ipi inasema mtu anayetukana adhabu yake ni kutekwa??Wapi nimemgusa beni saa nane na hao uliowataja?...mbona huwi muelewa?
Tumzungumzie huyo wa matusi,je kutukana ni sawa kwa tamaduni zeru tena unamtukana raisi wa Nchi?
Mtumishi umenena vyema, nakumbuka hili neno, na hapa ni miaka minne ya nzige bado miaka 6 mpaka watanzania tumrudie Mungu.Soma YouTube utabiri wa nabii bushiri 2015 kabla ya uchaguzi.Alitabiri kuwa anaona anga la Tz limejaa damu,pia uchumi wa nchi utazidi kwenda chini chini kila mwaka hadi inchi itakapofilisika kabisa.Kila MTU you shahidi sasa anayaona Kwa macho tangu Uhuru hakujawahi tokea haya.Shetani amekaa kiti Cha mfalme,viongozi wa dini wameacha mwabudu Jehovah's wanamuabudu Mungu jiwe ili wasife njaa,huku wakizitukuza kafala za wanadamu.
Kwa hiyo mtu anayetukana adhabu yake ni kutekwa...tuoneshe kwenye hizo sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ipi inasema mtu anayetukana adhabu yake ni kutekwa??
Mkuu kwa akili yako haya sio matusi?lete matusi mawili tu aliyotukana nikupe vocha ya buku 10.
tatizo mmezoea kutokukosolewa.
kuna raisi kwa ujumla alituita MALOFA, mwengine mazoba, yeye je si mtukananji?
mdude post zake anaweka kwa kuuliza swali