Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Familia ya Mdude wana kila sababu na haki ya kuandamana mpaka Wizara ya mambo ya ndani kuulizia uwepo wa ndugu yao. Na sisi tutawaunga mkono all the way!

They have nothing to loose. If anything they have more to gain than otherwise. They could be history in the making!
Ndugu na familia yake walishamchoka
 
Kweli mkuu, umeeleza kama professor kabisa, na laana hizi kwakuwa haw watu hwawambii ndugu zao, zinatafuna sana, watacua, watachuma mamilioni lakini watu wengine watakuja kula hizo hela, DAMU SI MAJI, HAIENI HIVI HIVI, hata Yesu damunyake ndio imekuwa ukombozi kwa waislamu na wakristo kwa pamoja. kwa sisi waislamumtunamwit a issa bin mariam

Damu za watu zitawatafuna milele hadi mwisho wa maisha yao,watamiliki kila kitu Lkn hawana Furaha Na Amani ya moyo,wamejaa hofu mchana usiku hawana Nuru ujihisi hatia nyakati zote japo wanafeki,Lkn soon Mungu atawapiga mapigo wasipotubu Na kuziacha njia zao.
 
hayo ni matusi tena ya nguoni yaani bhuyu kijana hafai kuhurumiwa kabisa

Ni mtazamo wako,basi tuendelee kupata mapigo toka Kwa Mwenyezi Mungu ya laana juu ya damu zimwagikazo.Na tusimtafute mchawi wa kubuma Kwa mambo yetu maana palipo Na laana Baraka uondoka.
 
Iddy na Malyamungu waliyafanya haya haya. Zama za aibu kwao zikaja na wakafa kiabu na sasa wanakumbukwa kwa mabaya yao maana yamewafuata hata kaburini na ng"ambo ya maishi haya.
 
Ilitakiwa ushahidi uwekwe,hali ikiwa mbaya na wakashindwa kucontrol wanapoteza ushahidi!!
Halafu tuna watu kila week za ibada wako mstari wa mbele wakijifanya wapenda haki na wanahofu ya Mungu!!!
Watu huenda kanisani kwa hofu ya shetani, si hofu ya Mungu. Wanaenda kuomba awalinde na kutubu dhambi walizitenda. Wanasahau kuwa shetani ana nguvu, kuepa hilo Mungu alimsukumiza duniani.
 
Ni mtazamo wako,basi tuendelee kupata mapigo toka Kwa Mwenyezi Mungu ya laana juu ya damu zimwagikazo.Na tusimtafute mchawi wa kubuma Kwa mambo yetu maana palipo Na laana Baraka uondoka.
laana tunaitafuta wenyewe fikiria mtu mdogo hivyo anatukana mamlaka ambayo imewekwa kihalali ambayo hata mungu alisema tuziheshimu mamalaka acha apumzike alipojitafutia
 
Katiba Na Sheria usemaje juu ya hayo? PILI vipi upande wa PILI wanaowatusi Na hata kuwatishia wengine MBONA awatekwi?
Yeye kutukana mtandaoni anakuwa amekeuka katiba au hajakeuka?
Katiba inakubali mtu atukane?
 
Kama kweli alimtukana mtu si angefungwa kama Sugu? Mbona kesi mbili kashinda?
Ila pamoja na kupotea kwake lakini huyu jamaa alikua na matusi sana sio kwa kutukana vile kiongozi wa nchi, leo nimeona moja ya post zake inahusu IMF duuuuh sidhani kama alienda jando huyu kijana.
 
Kama kweli alimtukana mtu si angefungwa kama Sugu? Mbona kesi mbili kashinda?
hivialichokiandiaka kuhusu ripot ya imf umeona ? siyo matusi hay? huyo hafai hata kutekwa ni wakukamatwa laivu na kushitakiwa kizibiti kipo
 
Kama kweli alimtukana mtu si angefungwa kama Sugu? Mbona kesi mbili kashinda?
lama
fb_img_1557150253663-jpeg.1089706

hili siyo tusi?
 
Yeye kutukana mtandaoni anakuwa amekeuka katiba au hajakeuka?
Katiba inakubali mtu atukane?

MTU akitukana uburuzwa mahakamani Na sio kutekwa Na Gestapo ili auwawe,tunachosema ni kuepusha hizi kafala za damu za watu si nzuri uleta laana ktk nchi,Na hatutowezafanikiwa Kwa lolote,tutafungua miradi itafail sababu ardhi imejaa damu.Kanuni ya damu Na uhai usema hivi. Ukimwaga damu ya MTU ktk USO wa ardhi ardhi hio ugeuka laana Na hakuna pando au zao lolote litaota hapo,ni hadi damu hio imalize kulipa kisasi Kwa wahusika.
 
ashughulikiwe ipasavyo maana alikuwa anatukana sana watu mitandaoni. mpuuzi sana yule
 
Hivi wabongo nani kawaroga jamani? Mtu kama kakamatwa ama kutekwa kwanini usiende kutoa taarifa polisi mpaka uende kwenye mitandao ya jamii kumwaga povu?
 
Wakuingia barabarani ni nani? Yaani kweli watu waandamane kisa mdude????? Huna akili, labda huko bavichaa
yawezekana wewe ndo huna akili na hujui dunia inaendaje? vyanzo vya mapinduzi duniani na maana yake? unayakumbuka yale ya Tunisia? chanzo kilikuwa nn? sio mdude tu kw taarifa yako kule MKIRU watu wwmepotea wazima mpaka leo hawajulikani walipo aliyetaka kufichua ANZORY GWANDA WAJUA ALIPO?
 
Sijasema kama aliyeteka ni kiongozi wa Nchi kwa sababu sina ushahidi huo.

Lakini kwa mtu mwenye akili timamu anajua kwamba kutukana ni jambo ambalo hakuna ambae amgependa kufanyiwa.

Raisi ni mtu mkubwa sana sio wa kumshusha hadhi namna hiyo,hata kama ikatokea ana mapungufu lakini sio sawa kumtukana matusi ya nguoni.

Kama raisi hatakiwi kuna na roho nyepsei hivyo kwa kuwa ataumiza wengi sawa lakini je matusi yanakubalika na ni katika tamaduni zetu watanzania kutukana mamna ile tena unamtukana mkuu wa nchi?

Kwa hiyo sheria inasema mtu wa hivyo atekwe?
Au apekwe mahakamani ikithibitika afungwe?
 
Back
Top Bottom