Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

Tetesi: Inadaiwa Mdude Nyagali kaletwa Dar jana Usiku, hali yake ni mbaya

spin docter katika kiwango kidogo kabisa cha ique

Haya huwa yana impact Kwa jamii Kwa kumuondolea kiongozi yeyeto credility umpunguzia maksi,wenye uelewa huwa hawashughuliki Na vitu vidogo vidogo
 
Waweza furahi shangilia juu ya haya Lkn kesho zamu yako.Maana kazi ya Shetani ni kuuwa Na kuharibu.
 
May God Almighty intervene the situation quickly [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mwaka 1947 pana mwanazuoni mmoja alipata kutamka haya Na yamethibika hata sasa Miaka 60 ya ukombozi wa bendera wa Afrika.Yeye alitazama akasema,"Waafrika wanataka Uhuru wapeni Lkn hawatofika mbali wataishia kuuwana Na kuchinjana kama wanyama wa porini,maana wamejaa hila Na ubinafsi wao Kwa wao hakuna mwafrika yeyeto awezae mletea maendeleo mwafrika mwenzake ataishia kumuibia,kumteka,kumtesa,kumfilisi,kumuua mwafrika mwenzake " Ndio yanayoendelea Africa nzima Viongozi kuwaibia waafrica Na kuficha nje,kuwauwa,kuwafilisi,kuwateka waafrica wenzao.
 
Mbona unapaatika na swali langu jujajibu,jibu nilichokuuliza.

NAKUULIZA HIVI JEE MTU ANAYETUKANA MITANDAONI NI KOSA KISHERIA AU SIYO KOSA KISHERIA?
Najua kwamba mtu akikosa aadhibiwe kisheria ila tu nauliza kwamba
Huyu anayetukana kakeuka sheria au hakukeuka sheria ?

MTU akitukana uburuzwa mahakamani Na sio kutekwa Na Gestapo ili auwawe,tunachosema ni kuepusha hizi kafala za damu za watu si nzuri uleta laana ktk nchi,Na hatutowezafanikiwa Kwa lolote,tutafungua miradi itafail sababu ardhi imejaa damu.Kanuni ya damu Na uhai usema hivi. Ukimwaga damu ya MTU ktk USO wa ardhi ardhi hio ugeuka laana Na hakuna pando au zao lolote litaota hapo,ni hadi damu hio imalize kulipa kisasi Kwa wahusika.
 
Mbona unapaatika na swali langu jujajibu,jibu nilichokuuliza.

NAKUULIZA HIVI JEE MTU ANAYETUKANA MITANDAONI NI KOSA KISHERIA AU SIYO KOSA KISHERIA?
Najua kwamba mtu akikosa aadhibiwe kisheria ila tu nauliza kwamba
Huyu anayetukana kakeuka sheria au hakukeuka sheria ?

Ni kosa
 
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua

Umeshauri vizuri, lakini hao unaowapelekea hizo taarifa, tayari wanazo, na wakiulizwa wanasema hawana.
 
It is a disaster - tulishaomba sana Mungu nadhani sasa tunaanza kujibiwa maombi!
 
Jawabu ni kosa kishera.

Ndo mana mimi nasema kwamba sifurahii wala sihuzuniki kwa tukio hili kwa sababu ALIYETEKWA N MHALIFU WA MITANDAONI NA MTEKAJI PIA NI MHALIFU AMBAE kisheria anafanya makosa.

Kwa hyo wote ni wahalifu wameenda wanakokujua wao,mtekwaji amekeuka sheria na mtekaji amekeuka sheria.

Kama kuwalaumu wote walamiwe.kama kutetewa wote watetewe.
Aliyeteka sijui malengo yake na wala sina uhakika kwa nini katekwa.kwa sababu kama tunakubaliana kuna ambao hawakutukana na wametekwa kwa nini niseme na niamini kwamba huyu aliyetekwa katekwa kwa sababu ya kutukana wakati kuna ambao hawatukani na wanatekwa kama ambavyo mnasema?

Kwa hiyo wote ni wavunja sheria tu sioni haja ya kumuonea huruma mmoja na mwingine kutomhurumia.

Kisheria ni kosa kumteka Na kumuuwa MTU,ni udhaifu Na uoga.
 
Marekani na nchi za ukaya ni wanafiki wakubwa, tangu utawala huu wa awamu ya tano ushike dola watu wanaotofautiana na serikali hii na wanaoikosoa baadhi yao wametekwa na ama kupotezwa kabisa au kuteswa na kuachiwa baada ya muda wakiwa hoi. Marekani na ulaya wamekaa kimya , hawaibani serikali hii inayolea utekaji na mauwaji kama wanavyoibana Venezuela.
mkuu, hawa marekani na ulaya , hapa kwenye hili wanaingia kama nani? nisaidie kidogo.....kama mahakama? kama wasimamizi wa democrasia yetu? kama waangalizi wa polisi au wazazi?
 
Ilitakiwa ushahidi uwekwe,hali ikiwa mbaya na wakashindwa kucontrol wanapoteza ushahidi!!

Halafu tuna watu kila week za ibada wako mstari wa mbele wakijifanya wapenda haki na wanahofu ya Mungu!!!

Hakuna mtu mbaya kama anayejivisha koti la kumcha Mungu.. Amini amini nakwambia siku zaja atakapoumbuka mbele ya watu na huyu atavua nguo na kuanza kuweweseka
 
Tufunge na kuomba kuombea Nchi yetu..viongozi wa dini hasa kanisa kuweni makini na watu mnaoruhusu wasimame madhabahuni..Madhabahu sio sehemu ya kuchezea
 
mkuu, hawa marekani na ulaya , hapa kwenye hili wanaingia kama nani? nisaidie kidogo.....kama mahakama? kama wasimamizi wa democrasia yetu? kama waangalizi wa polisi au wazazi?
Kwa njia ya kuwapa kibano cha vikwazo vya kiuchumi serikali hii kandamizi isiyojali uhai wa binadamu, viongozi wanaohusika kuwekewa vikwazo binafsi. Hayo yalifanyika South Africa kipindi cha utawala wa kimabavu wa Makaburu na yanaendelea hata sasa kwa nchi nyingine.
 
mkuu, hawa marekani na ulaya , hapa kwenye hili wanaingia kama nani? nisaidie kidogo.....kama mahakama? kama wasimamizi wa democrasia yetu? kama waangalizi wa polisi au wazazi?
Na wanaingia kama sympathisers wa wanafanyiwa ushenzi wa kutekwa na kupotezwa wakati serikali imekaa kimya haifanyi lolote la maana kudhibiti ushenzi huu. Wanaingia pia kama wadau wa demokrasia ambayo utawala huu wa awamu ya tano imeupiga teke.
 
Hahaha! Mleta mada si kaandika jamaa yupo mikononi mwa polisi, sasa unatak ten wakaripoti polisi ilihali jeshi ni lilelile...
kama umeweza kujua yuko wapi si ukaripoti polisi mbona mnachukulia vitu kirahisi hivyo toa taarifa afuatiliwe aliye mchukua
 
Back
Top Bottom