Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
ametoa copmarison na siyo kutukana, .Mkuu kwa akili yako haya sio matusi?
Hivi haya maneno ukimuambia mtu unatarajia atafurahia au atachukia?
View attachment 1090137
aliyesema Tanzania ni kama kichwa cha mwendawazimu alitutukana ama alitoa mfano?
kuna maraisi, maaskofu, na watu mbalimbali, wao ni vichwa vya wendawazimu? mbona hajashtakiwa, kukamatwa na kuteswa?