Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Wakuu

Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua

Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali

App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake

B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake

Asante
 
Yuko Chama gani?
 
Back
Top Bottom