Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sasa kama kuna watu wanaweza kutengeneza picha mtu anaelea hewani na isiwe maarufu ndo Pic ya yai kusimama iwe maarufu.?Sasa kwann limetrend hvyo,ebu na wew jaribu kusimamisha yai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama kuna watu wanaweza kutengeneza picha mtu anaelea hewani na isiwe maarufu ndo Pic ya yai kusimama iwe maarufu.?Sasa kwann limetrend hvyo,ebu na wew jaribu kusimamisha yai
Hyo ya yai sio ya kutengenezaSasa kama kuna watu wanaweza kutengeneza picha mtu anaelea hewani na isiwe maarufu ndo Pic ya yai kusimama iwe maarufu.?
Kwa hiyo ww uliamini hiyo ni picha halisi?
Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa.
Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba na wachezaji hawa na kuwalipa pesa ndefu ili wawe kwenye picha moja.
Wawili hao walikubali mkataba huo ila kwenye kupiga picha hawakuweza kupiga pamoja kirahisi, ilibidi Messi aende kwa muda wake na baada ya kuondoka akaja Ronaldo nae akapiga kivyake, baada ya hapo wataalam wa photoshop ndio wakaziunganisha.
Kwa makubaliano ya mkataba iliwabidi wote waposti kwa pamoja picha hio kwenye mitandao yao ya kijamii.
Hivyo si kama watu wengi wanavyodhani kwamba picha iliyopigwa ilikuwa wapo pamoja ama walipiga kishkaji iwe kumbukumbu kwao.
Kutokuwa na mazoea ndio chanzo kikuu
Ikumbukwe Ronaldo hakumpigia kura Messi kwenye Balon D' Or ya mwaka juzi.
Wawili hao hakuna aliye mfollow mwenzake kwenye mitandao ya kijamii
huyu aliye edit hizo picha ni mkali sana.
Hahahaha huyu dogo anaonekan ni mtu mkubwa sana ulimwenguni. Mastar wote ni washkaji zake.
Tunaishi katika dunia ambayo ujinga au mambo ya kijinga ndio yanayopata umaarufu na heshima kubwa katika jamii, wakati mambo ya maana na umuhimu yakipewa hadhi ya chini na kupuuzwaSasa kwann limetrend hvyo,ebu na wew jaribu kusimamisha yai