myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh....Inadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Wewe nawe umeanza kuzeeka na unashindwa tafakari vizuri..Shetani hana rafiki , vijana jifunzeni mambo haya
Hamna mtu aliyetajwa jina hapaJamii forum. Ile fact check yenu imeishia wapi? How comes mtu anawaza jambo tu alafu anaweka humu alafu mnaliacha?
hahahaha hii stori ya kijiweni ila ki bongo movies ina bambaNasikia alimtambia mbowe kwamba watamfanyia kama walivyomtenda bwana Ben Saa 1 mbowe juzi ndio kamchongea bwana Diwani kwa mama
🤣🤣🤣🤣Amelowa-amelowaa
Tuendelee kuomba,Mungu IBARIKI NCHI yetu TANZANIA tuipendayo Sana!
Ni huzuni kwa kweliTimu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
Let's wait and see vyura watabweka sanaInadaiwa baada ya kupekuliwa amekamatwa na kuwekwa safe house kama walivyofanya kwa Kapilimba.
Mtu anapekuliwa na kukaguliwa na lengo kuvunjwa zile connection zote akitoka hapo ata line za simu atasajili zingine na kuanza Maisha mapya.
Tunakuombea buddy hata kama uliwaumiza ndugu zetu🙏🙏
Acha wamshughulikie maana na yy kawafanyi hivo wengiTimu gaidi wanajionaga hii Tanzania ni yao
MkuuUsilolijua ni Usiku wa Giza. Wahenga walisema