Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

Jamii forum. Ile fact check yenu imeishia wapi? How comes mtu anawaza jambo tu alafu anaweka humu alafu mnaliacha?
Kwani ametaja jina ??? Sisi tunamuongelea kajala wa harmoniser baada ya mtumwingine kuteuliwa cheo cha umenejq pale konde gang harmoniser akamteua awe mama wa nyumbani akagoma saizi yukonkwao safe house
 
 
Nakumbuka 2017 akiwa Katibu Tawala mkoa wa Kagera, alinisaidia sana na msaada wake najivunia mpaka leo.

Yatakwisha tu brother na tutaenda kulima zetu manyara
 
Watu bana 😊😊😊... binafsi nawashangaaga sana hasa ndugu watanzania wenzangu. Hivi mnafkiri mambo nyeti yanayoendelea kwenye idara huwa yanafahamika kizembe na kirahisi namna hiyo?! Wale sio watu wajinga wajinga na wa hovyo kama mnavyodhaniaga na kudanganyana au kudanganywa!... inawezekana kwenye mnayohisi au kusema mnayafahamu kwenye asilimia kumi (10%) kwa taarifa yenu hata asilimia moja na nusu (1.5%) haijafika.

Tujifunze kushkuru mungu kwa amani iliyopo mpaka mnakuja kuharisha hapa vya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…