#COVID19 Inaelekea COVID-19 ni nadra sana kuwa na effect kubwa kwa vijana na watoto

#COVID19 Inaelekea COVID-19 ni nadra sana kuwa na effect kubwa kwa vijana na watoto

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,154
Reaction score
31,246
Nilikuwa napitia matangazo ya chanjo za COVID-19 za Australia, chanjo itaanza kutolewa kwa wale walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi kama watoa huduma za afya, wafanyakazi wanaoishi kwenye makazi ya kuhudumia wa zee na walemavu, walinzi wa mipakani, na watoa chanjo wenyewe.

Kisha wataenda mbele kutoa chanjo kwa kila mtu ambaye amepita umri wa kuwa kijana. Sasa vijana na watoto kwasasa hawana mpango wa kuwapatia chanjo mpaka hapo baadae watakapopitia data zao na kuona kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Pia kila mtu anayestahili kupata chanjo atapewa chanjo mara mbili.

Nikagundua kumbe ndiyo maana ni nadra sana kuona watoto wamepata zile dalili zianzoambatana na COVID-19
 
Back
Top Bottom