Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM?

Hii ni fedheha kubwa sana.
Screenshot_20260228-164758.jpg
 
Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM?

Hii ni fedheha kubwa sana.
View attachment 3550046
ni jambo la kawaida kwa serikali sikivu ya CCM kusaidia pale ambapo ni muhimu zaidi,
Na kuhusu Askofu Pengo, sio mara moja serikali sikivu ya ccm kumuhudumia hayati pengo hasa inapokua na taarifa mahususi kumuhusu.



Akina Fr. Kitima walikua wakisubiri afe tu.
 
ni jambo la kawaida kwa serikali sikivu ya CCM kusaidia pale ambapo ni muhimu zaidi, licha ya kua kuhusu Askofu Pengo, sio mara moja serikali kumuhudumia hasa inapokua na taarifa mahususi kumuhusu.

Akina Fr. Kitima walikua wakisubiri afe tu.
Toa mku..du wako hapa
 
Kwani ilitokeaje mpaka serikali ikodi ndege kwa niaba ya Kanisa?,

Je waliombwa na Kanisa au ni Juhudi za serikali haramu kujisafisha?naomba majibu

Je kanisa lilikiri kuishiwa hela?
Katoliki wangeitisha harambee, ni sekunde milion hata 500 zingepat8kana within one hr!
 
Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM?

Hii ni fedheha kubwa sana.
View attachment 3550046
Amesema wapi kuwa aliombwa kulipia hiyo ndege? Na haijalishi status ya mtu, serikali inawajibika kumhudumia raia wake. Hasa aliyewahi kuwa kiongozi mkubwa wa jamii kama alivyokuwa Kadinali. Na haujui Kadinali aliisaidia serikali mangapi wakati wa uhai wake.

Amandla...
 
ATCL si inafanya safari za India? Walishindwa vipi kurudi na mwili katika moja ya safari zake badala ya kuingia gharama kubwa kukodi ndege ya pekee kusafirisha mwili?
 
Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM?

Hii ni fedheha kubwa sana.
View attachment 3550046
Hapana sio fedheha, kuna vitu vinahitaji pesa ndefu sana kuliko hata makusanyo ya sadaka ya nchi nzima.

Hili hutokea kwa viongozi wa dini zote, hata ukisikia Mufti ametibiwa nje ya nchi, fedha za Waislamu wote Tanzania hazitoshi kumhudumia hivyo huwa ni serikali huwa inaokoa jahazi.

Tena afadhali ya Wakristo, ni sadaka zinaendesha TEC!, na viongozi wetu wote tunawatibia kwa fedha zetu, na wana bima kubwa za afya, lakini amini usiamini, michango ya Waislamu wa Tanzania, sio tuu haiwezi hata kuendesha Bakwata!, bali hata kumuwekea tuu Mufti bima ya afya hawawezi!, Mufti akiugua hata kutibiwa tuu hospital za ndani, ni serikali ndie inamtibu BAKWATA Ina matatizo ya Uendeshaji. Je, itaziweza Mahakama za Kadhi?!

Zile AC zote pale makao makuu ya Bakwata, ikiwemo ac ya ofisi ya Mufti zimefungwa kwa ufadhili wa taasisi fulani ya Kikristu!, na baada ya kufungiwa ac, siku mfadhili amepita pale kusalimia, akukuta ac zote japo zipo, zimezimwa!, akauliza kulikoni ac zipo haziwashwi, akaambiwa zinakula sana umeme wa luku, hivyo wameamua wasiziwashe!. Ufadhili akakubali atakuwa analipa bili yote ya umeme ya Bakwata kuwasha ac!, Waislamu wangejua kuwa hata umeme wa Bakwata unalipwa na taasisi ya Kikristu, ingekuwa ni aibu kiasi gani?, uzuri wa taasisi hiyo ni low profile haisemi wala haitambi!. Niliwahi kushauri humu Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

P
 
Back
Top Bottom