Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

kwa akili zako timamu unaamini catholic wanaweza kukosa hela ya kutoa mwili india?
 
Kwamba Wakatoliki walishindwa kukodi ambulance ya ndege? Kisa tu hawana pesa?
 
Kuyazungumzia sana mambo ya marehemu it's like kumsimanga marehemu, it's just like the consecration of the dead, tumwache apumzike.
P
Atuzungumzii habari na hoja za marehemu. Hoja ni kuwa kanisa Katoliki lilikosa uwezo wa kukodi ndege kumrudisha Kadinali Pendo ambaye sasa ni marehemu? Huku kuna sadaka za mabilioni ya pesa?
 
Atuzungumzii habari na hoja za marehemu. Hoja ni kuwa kanisa Katoliki lilikosa uwezo wa kukodi ndege kumrudisha Kadinali Pendo ambaye sasa ni marehemu? Huku kuna sadaka za mabilioni ya pesa?
Then huu ni uthibitisho jinsi Kanisa Katoliki lilivyo makini kwenye nidhamu ya matumizi ya fedha za sadaka, kwavile that was an expected circumstances, urgency of the matter at hand and financial protocol za procurement ya air ambulance, the next president, did the right thing, using a stitch in time that saves nine!
The Catholic Church is the richest Church not only in Tanzania, in the world!.

P
 
Sasa
Sasa pascal ,hiyo bakwata yenyewe mmeianzisha nyinyi wenyewe wakristo kwa kumtumia Nyerere..kwa lengo la kuwabana waislam..halafu tena waislam waihudumie bakwata hiyo haiwezekani..
Waambie hiyo taasisi iendellee tu kufadhili
 
Kwenye mshono kabisa
 
Uache ujinga usiseme waislamu sema bakwata kuna watu hawaisapoti na wala hawana haja na bakwata so we kikongwe na kigego usiwasemee waislamu kuhusu bakwata na bakwata ni takataka tu
 
Nilichoelewa kutoka kwa Nchimbi ni kwamba kilichohitajika kutoka kwa Rais ni idhini ya kukodi ndege ya wagonjwa.
Na siyo msaada wa kugharamia ndege hiyo.
 


Gentleman ameshapata topic ya wiki mzima haha

Ila for sure ni aibu sana kwa taasisi kubwa kama ile kuomba Air Ambulance
 
Namshangaa huyo mzee kigego@Pascal mayala
Sasa

Sasa pascal ,hiyo bakwata yenyewe mmeianzisha nyinyi wenyewe wakristo kwa kumtumia Nyerere..kwa lengo la kuwabana waislam..halafu tena waislam waihudumie bakwata hiyo haiwezekani..
Waambie hiyo taasisi iendellee tu kufadhili
Bakwata ni zao la Nyerere na hao hao wakatoliki
 
Nilichoelewa kutoka kwa Nchimbi ni kwamba kilichohitajika kutoka kwa Rais ni idhini ya kukodi ndege ya wagonjwa.
Na siyo msaada wa kugharamia ndege hiyo.

Kama wanakodi wao kwa ela zao why waombe kibari?
 
The richest church yenye madeni ya mkopo kutoka Roschilds family?
Pope John Paul I aliuawa kwa sababu gani?
Una fahamu scandal ya Vatican Bank na Mafia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…