davetz 23
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 222
- 333
Una matatizo ya akili wewe ,usinilazimishe,hatujuani,forum si ya kwako,uzi si wa kwako,uwe na adabu tafadhaliAcha kuwachota watu akili wewe una matatizo ya akili, maluweluwe yamekujaa
Jana nilikua kwenye kubadirisha frequency nikaingia hio radio ya Mwamposa kuna wimbo wa dini niliukuta nikastop nisikilize wa Paul Clement, sasa nilipomaliza ndio zikaja shuhuda Wala sikua na lengo nilichostaajabu ni kwamba kuna jamaa alikua anatoa shuhuda alafu yule anaemwambia ashuhudie akawa anacheka vibaya sana maana kwa akili ya kawaida tu alibaini kwamba ule ushuhuda ni UONGO
Kama huamini usiwatusi watu hovyo tena usiowajua