Duh hiyo hatari sanaMwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
umeongea halafu ukajijibu mwenyewe,kama kweli yeye ni mchungaji wa kweli na unamlinganisha na Yesu,basi mwambie awalishe watu wawili tu,yaani saahani moja ya chakula izalishe nyingineNimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.
Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.
Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.
Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.
Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
[emoji38]Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanza
Nimeshafika pale Kanisa kwake jamaa Ni tapeli haswa
Kuna sehemu kajaza magongo ya vilema Kama yote
Kichekesho Sasa hakuna kilema asiye na mguu amewahi kurudishiwa miguu au vipofu kuona
Kuna jamaa alinituma maji kwa mwamposa ,ya elfu 15 nikaona asinitanie ,nikanunua dukani nikampelekea ,nyingine nikabeba
Yaani ningekuwa mjinga nimpe mwamposa Pesa kirahisi wakati najua anaiba tu
Sinema tu zileAu kwanini wanaotapika hawatapiki pale mbele ya mtumishi wanaenda tapika kwenye majani?
Kwanini wakazi wa hapo hapo Kawe sio waguswa kwenye hayo mambo na wapo wengi wana matatizo kama yote
Serikali inapenda na kuyakumbatia mambo haya.Alafu mpaka serikali,bungeni wanamtambua [emoji1]
Ova
Siyo kipimo cha imani,kuna aliyemfufua hata mende au inzi?achana na binadamuRekodi ya Yesu mbona ilishavunjwa siku nyingi tu
Sio sababu watumishi wa sasa wako vizuri kuliko Yesu la .Ila Yesu Mwenyewe aliomba na kuwaombea watakaofuata baadaye wavunje hiyo rekodi kwa maombi yake
Enzi za Yesu alihubiria watu wachache tu kwa sauti yake tu sasa hivi spika zipo xaweza wafikia wengi kuliko mkutano wa Yesu pia kipindi cha Yesu aliweza wafikia tu waliohudhuria mkutano wake tena wa lugha yake tu bila mkalimani leo watu waweza hubiria dunia nzima mabilioni ya watu kupitia television, nk wa mataifa na lugha mbalimbali kupitia Television ,YouTube, nk kwa kutumia wakalimani nk
Kufanya wanaomwamini makubwa kuliko yeye ni majibu ya maombi aliyoomba sio sababu mtumishi yuko smart sana.Hata wewe waweza fanya makubwa kuliko Yesu
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Hao waliobaki tuwasaidie nao kushitukaWashtuke Mara ngapi watu washashtuka Ila ndio hivyo wengine vichwa vibovu, jamaa anajenga mahotel wao kazi yao kuchangia Sadaka tu
Ona sasa ujinga huu wa kiwango cha SGR.Mwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
Hivi watu bado wamelala kiasi hichi unaanzaje kuamini watu kama hawa??? Waafrika tuna shida sana. Aende hospital akaponyeshe wagonjwa.Namjua alienunua maji ya kutosha, Ila hakuna mabadiliko, hao wa kwenye tv wote tunawaona, Ila uhalisia wake ni ndugu zao watusimulie.
Kwa hiyo ukanunua ya buku zingine ukatia mfukoni. Safi sana!!Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanza
Nimeshafika pale Kanisa kwake jamaa Ni tapeli haswa
Kuna sehemu kajaza magongo ya vilema Kama yote
Kichekesho Sasa hakuna kilema asiye na mguu amewahi kurudishiwa miguu au vipofu kuona
Kuna jamaa alinituma maji kwa mwamposa ,ya elfu 15 nikaona asinitanie ,nikanunua dukani nikampelekea ,nyingine nikabeba
Yaani ningekuwa mjinga nimpe mwamposa Pesa kirahisi wakati najua anaiba tu
Unatuchukuliaje?Mimi nilitapika wembe na kunya jongoo mzima. Nikapona tezi dume.
Kwa kweli 🤣Kuna watu hata zile movie za Hollywood majengo yanalipuliwa, magari yanaanguka na kulipuka Huwa wanaona ni mambo ya kweli!!
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Ufunuo wa Yohana 21:6
[6]Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
And he said unto me, It is done. I am Alpha and Omega, the beginning and the end. I will give unto him that is athirst of the fountain of the water of life freely.
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......
Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Ukiwagusa hao unakosa misaada nikama Mashoga tuSinema tu zile
Jamaa ni tapeli
Na nashanga serikali inamlea
Ova
Mwamposa Ni TapeliNinae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......
Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
DhaifuUnatuchukuliaje?