Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Mwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
Duh hiyo hatari sana

Kweli unajimaliza

Ova
 
Nimebahatika kuona vipindi kadhaa vya mchungaji Mwamposa.

Yawezekana ukimtoa Yesu (Kwenye ukristo) kiumbe mwenye kufanya miujiza mingi hapa duniani anaweza kuwa huyu Mchungaji.

Sitaki kuhukumu kama ni mkweli au Lah, ila kwa wanaoshuhudia kwenye vipindi vyake anaweza vunja rekodi.

Nadhani ile miujiza ya Yesu ya uponyaji huyu mchungaji ataivunja rekodi zake, isipokuwa Kulisha watu 5000 ambao walikula na kusaza na kufufuka kwa yesu.

Kuna yoyote amepatwa na muujiza wa Mwamposa haswa uponyaji humu?
umeongea halafu ukajijibu mwenyewe,kama kweli yeye ni mchungaji wa kweli na unamlinganisha na Yesu,basi mwambie awalishe watu wawili tu,yaani saahani moja ya chakula izalishe nyingine
 
Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanza

Nimeshafika pale Kanisa kwake jamaa Ni tapeli haswa

Kuna sehemu kajaza magongo ya vilema Kama yote

Kichekesho Sasa hakuna kilema asiye na mguu amewahi kurudishiwa miguu au vipofu kuona

Kuna jamaa alinituma maji kwa mwamposa ,ya elfu 15 nikaona asinitanie ,nikanunua dukani nikampelekea ,nyingine nikabeba

Yaani ningekuwa mjinga nimpe mwamposa Pesa kirahisi wakati najua anaiba tu
[emoji38]

Ova
 
Mathayo 24:24
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 
Rekodi ya Yesu mbona ilishavunjwa siku nyingi tu

Sio sababu watumishi wa sasa wako vizuri kuliko Yesu la .Ila Yesu Mwenyewe aliomba na kuwaombea watakaofuata baadaye wavunje hiyo rekodi kwa maombi yake

Enzi za Yesu alihubiria watu wachache tu kwa sauti yake tu sasa hivi spika zipo xaweza wafikia wengi kuliko mkutano wa Yesu pia kipindi cha Yesu aliweza wafikia tu waliohudhuria mkutano wake tena wa lugha yake tu bila mkalimani leo watu waweza hubiria dunia nzima mabilioni ya watu kupitia television, nk wa mataifa na lugha mbalimbali kupitia Television ,YouTube, nk kwa kutumia wakalimani nk

Kufanya wanaomwamini makubwa kuliko yeye ni majibu ya maombi aliyoomba sio sababu mtumishi yuko smart sana.Hata wewe waweza fanya makubwa kuliko Yesu

Yohana 14:12​

Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Siyo kipimo cha imani,kuna aliyemfufua hata mende au inzi?achana na binadamu
 
Mwamposa anasadaka yake inaitwa SADAKA YA KUJIMALIZA hiyo sandakan unatoa pesa yote uliyokuwa nayo mpka nauli yaan akikisha umejimaliza kweli [emoji1][emoji1][emoji1]baada ya hapo utaanza kuona miujiza
Ona sasa ujinga huu wa kiwango cha SGR.
 
Mwamposa ni tapeli , sema ili uwe Kama mwamposa lazima upate sapoti ya serikali kwanza

Nimeshafika pale Kanisa kwake jamaa Ni tapeli haswa

Kuna sehemu kajaza magongo ya vilema Kama yote

Kichekesho Sasa hakuna kilema asiye na mguu amewahi kurudishiwa miguu au vipofu kuona

Kuna jamaa alinituma maji kwa mwamposa ,ya elfu 15 nikaona asinitanie ,nikanunua dukani nikampelekea ,nyingine nikabeba

Yaani ningekuwa mjinga nimpe mwamposa Pesa kirahisi wakati najua anaiba tu
Kwa hiyo ukanunua ya buku zingine ukatia mfukoni. Safi sana!!
 
Yesu Alisema Mkiniamini Mimi Mtafanya Zaid ya Haya nifanyayo
 
Ufunuo wa Yohana 21:6
[6]Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.

And he said unto me, It is done. I am Alpha and Omega, the beginning and the end. I will give unto him that is athirst of the fountain of the water of life freely.
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.

Ufunuo wa Yohana 12:11
 
Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......

Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.

Ufunuo wa Yohana 12:11
 
Sinema tu zile

Jamaa ni tapeli

Na nashanga serikali inamlea

Ova
Ukiwagusa hao unakosa misaada nikama Mashoga tu

Lundo la manabii na mitume fake Ni Moja ya agenda za Freemason

Sawa sawa na Agenda za Ushoga , wanawake kuwa watawala ,

Ili uwe nabii TZ Kuna protocol unatakiwa uzifate Kisha Serikali haitakugusa hata uwalishe watu mikojo
 
Ninae andika hapa sio layman....hata kama hauna Imani...jarib kufanya trial hapo kawe Kwa MWAMPOSA.......

Nenda na ajenda yako yoyote pale #Asap
Utajibiwa mpaka ushangae....
Mwamposa Ni Tapeli

Hivi mnadhani wote Ni misukule ?

Kwanini wale waliokufa kule Moshi hakuwafufua?

Waliojeruhiwa hakuwaponya ...

Lini mwamposa aliponya kipofu au kilema asiye na miguu
 
Back
Top Bottom