Mwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
[emoji109][emoji109]Kama huna hela kausha, sisi tutachanga
Zitaje Mali hizo.Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Kwa miaka kama mitatu hivi iliyopita , Bwana Freeman kapita kwenye mawimbi makubwa sana, biashara zake zote walizi frustrate,, hivyo kumchangia siyo vibayaMwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Inasemekana K-VANT inapunguza nguvu za kiume na akili!!Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Huyo alikuwa mpika chai ya nchimbiUmeishia la ngapi kielimu? La pili?
HaikuhusuMwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Unashangaa ya Mbowe! Kilichomtoa Ndugai Uspika unakijua? Alipohoji tu kwamba kwanini tutembeze bakuli wakati tuna raslimali za kutosha alikiona cha moto.Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
well said.Kumchangia mtu au taasisi huwa haijalishi uwezo wa huyo mtu au hiyo taasisi bali ni kuonyesha MSHIKAMANO..........
Mawakili wa Mbowe wanakukera eh 🤣🤣🤣Baelezee hao BAVICHA...
Pilipili usizozila zakuwashiani?Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Harusi isiyo yako unaivalia shela ya nini...waachie CDM na mambo yako wewe endelea kupanga ya huko kwenu ccmMwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.