Inafikirisha sana, kwa utajiri wa mali na biashara anazofanya Mbowe ni wa kuchangiwa? Au ndio kuumizana tu Kichademachadema?

Mwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.

Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?

Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?

Ujalazimishwa! Hata Kanisa Catholic Ni Tajiri Sana Ila kila siku lapitisha bakuli...

Mbowe is in jail for the benefit of this country, who can do that? All his family suffers!

Kuna watu wengine akili Zenu Za kuvukia tu Barabara, you do not think beyond that!
 
Utaratibu wa kuchangia upoje? Ni vema tukcchangia mtu huyu anayoipigania Tanzania njema ya kesho dhidi ya hawa baradhuli wanaowatesa na kuwaonea Watanzania kwa madhira mbalimbali.
 
Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.

Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?

Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Zitaje Mali hizo.
 
Kwa miaka kama mitatu hivi iliyopita , Bwana Freeman kapita kwenye mawimbi makubwa sana, biashara zake zote walizi frustrate,, hivyo kumchangia siyo vibaya
 
Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.

Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?

Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Inasemekana K-VANT inapunguza nguvu za kiume na akili!!
 
Nini kinakuwasha? si ujkune kwa kipande cha chupa?
Tunachanga sisi wewe nenda kakojoe ukalale!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kumchangia mtu au taasisi huwa haijalishi uwezo wa huyo mtu au hiyo taasisi bali ni kuonyesha MSHIKAMANO..........
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.

Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?

Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Haikuhusu
 
Unashangaa ya Mbowe! Kilichomtoa Ndugai Uspika unakijua? Alipohoji tu kwamba kwanini tutembeze bakuli wakati tuna raslimali za kutosha alikiona cha moto.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hata kwenye harusi za matajiri tunachangia kama njia ya kuonyesha umoja, ushirikiano na mshikamano katika jamii. Ukijifanya wewe unazo hutaki watu wakuchangia na wao wanaweza kukataa mchango wao hata kama ni wahitaji
 
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili? Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Pilipili usizozila zakuwashiani?
 
Mwenyekiti wa Chadema anasadikiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.

Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipoi ya kesi inayomkabili?

Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Harusi isiyo yako unaivalia shela ya nini...waachie CDM na mambo yako wewe endelea kupanga ya huko kwenu ccm
 
Back
Top Bottom