uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mwenyekiti wa Chadema anasadukiwa kuwa na ukwasi mwingi tu na kumiliki biashara kibao hapa nchini na hata huko falme za kiarabu hasa Dubai.
Sasa kwa mali na ukwasi alionao si ndio ilikuwa fursa ya kusimamaia malipi ya kesi inayomkabili?
Mbona mabakuli yameanza kupita kidijitali ili kulipia mawakili wake na watuhumiwa wenzake?
Ujalazimishwa! Hata Kanisa Catholic Ni Tajiri Sana Ila kila siku lapitisha bakuli...
Mbowe is in jail for the benefit of this country, who can do that? All his family suffers!
Kuna watu wengine akili Zenu Za kuvukia tu Barabara, you do not think beyond that!