Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora unyimwe rasilimali lakini sio akiliMsikilize
Sio rahisi kihivyo ila ipo possibility kuwa kweli, japo Ndogo.Je, unakubaliana nayo hii tweet ?View attachment 3177140
Uk swiss wana rasilimali gani? Akili tu na uzalendoBora unyimwe rasilimali lakini sio akili
Je, unakubaliana nayo hii tweet ?View attachment 3177140
Ndio uone kuwa waafrica ni empty setUk swiss wana rasilimali gani? Akili tu na uzalendo
Haah hatariWako sahihi kabisa, zile metro zote zitakuwa mbovu, zile oil rigs zote baharini zitazama, zile ship/drill ship/rigs building yard zote zitakufa.
Halafu Norway itaanza kuwa ombaomba, itaanza kuwa na raia masikini, itaanza kuwa inaongeza kwa rushwa na wizi wa mali za umma.
Wanaijeria wana lalamikiwa popote duniani kwa mambo ya hovyo hovyo.Before they came and conquer, abuse, squander and exploit how were things..., Ni kweli ili system (let me give an example of ecosystem) iweze kufanya kazi lazima kuwe na balance na sustainability..., na kinachoharibu Africa kwa muda mrefu sana wakati tuna viongozi bora wenye vision na waliopo kwa ajili ya watu (hata mmoja kabla hawajamuua aliwahi kusema It is better to Move One Step with People than Ten Steps Without).., kipindi hicho kulikuwa na marginalizaition na faulo za kutosha yaani mifumo iliyojengwa kutoa wealthy Undeveloped kwenda Developed....
Ingawa leo hii hatuna viongozi zaidi ya wachumia matumbo wanaouza nchi zao sababu ya vijipasenti vidogo vya wao na jamaa zao...
View attachment 3177154
Kwahio ukichukua viongozi wa Afrika na kuwapeleka huko ni kweli hilo litatokea ila ukiwachukua wananchi na kuwapeleka kwenye system which works they will make it better..., after all dunia hii na mengi ya sasa ya huko yamejengwa kwa nguvu za watumwa ambao wengi wao walitoka Afrika
Lini tuliwahi kuwa na viongozi bora ?Before they came and conquer, abuse, squander and exploit how were things..., Ni kweli ili system (let me give an example of ecosystem) iweze kufanya kazi lazima kuwe na balance na sustainability..., na kinachoharibu Africa kwa muda mrefu sana wakati tuna viongozi bora wenye vision na waliopo kwa ajili ya watu (hata mmoja kabla hawajamuua aliwahi kusema It is better to Move One Step with People than Ten Steps Without).., kipindi hicho kulikuwa na marginalizaition na faulo za kutosha yaani mifumo iliyojengwa kutoa wealthy Undeveloped kwenda Developed....
Ingawa leo hii hatuna viongozi zaidi ya wachumia matumbo wanaouza nchi zao sababu ya vijipasenti vidogo vya wao na jamaa zao...
View attachment 3177154
Kwahio ukichukua viongozi wa Afrika na kuwapeleka huko ni kweli hilo litatokea ila ukiwachukua wananchi na kuwapeleka kwenye system which works they will make it better..., after all dunia hii na mengi ya sasa ya huko yamejengwa kwa nguvu za watumwa ambao wengi wao walitoka Afrika