Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

So true, nothing is magical.. waafrika kinacho turudisha nyuma ni tunaishi kama wanyama. Tumetekwa na siasa, dini na uchawi. We are slaves of our won ignorance
 
Wako sahihi kabisa, zile metro zote zitakuwa mbovu, zile oil rigs zote baharini zitazama, zile ship/drill ship/rigs building yard zote zitakufa.

Halafu Norway itaanza kuwa ombaomba, itaanza kuwa na raia masikini, itaanza kuwa inaongeza kwa rushwa na wizi wa mali za umma.
Kweli kabisa
 
Ni kwanini ametolea mfano Nigeria na sio Algeria au Botswana Kenya?
 
Back
Top Bottom