Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

Wanaijeria wana lalamikiwa popote duniani kwa mambo ya hovyo hovyo.
Sababu wanakwenda kama wezi na matapeli na kuna loopholes za utapeli sehemu wanazokwenda.., ndio maana nikaongelea system iwapo kuna system ya kubana wezi na kushika wezi kuna system za watu kupata ujira halali kutokana na kazi za halali utaona kwamba Nigeria ina vichwa.. kutokea wanamuziki, wacheza mpira, waandishi, wacheza sinema n.k. ni kwamba tu hakupa proper sustainable system ya kutumia hizo nguvu kazi... Na sio Afrika tu hata hio ulaya inakwenda down the drain slowly but surely....
 
Lini tuliwahi kuwa na viongozi bora ?
Afrika before colonialism walikuwa na system zao... hata baada ya hapo kuna vichwa kama Kwame, Thomas Sankara, Patrice Lumumba (huwezi hata kuwalinganisha na takataka kama kina Trump wa leo hii).

Kipindi ambacho Pan Africanists walijua kwamba Clan can not Defeat Empires na wali-fight kuwe na muungano baina yao Kipindi ambacho kuna watu wenye busara zao kwa kujua unyonyaji wa USA na kipindi hicho UK na wengineo waligombani kuwa na New International Economic Order....

In 1970s some Countries tried establishing the New International Economic Order (Calling for Global Negotiations) - In one of the preliminary meetings in 1981, as you might have guessed Thatcher and Reagan would have non of it (You can't kill the Goose which lays the Golden Eggs)

 
Hicho kibonzo kimekaa kiutani, ila kinamaanisha Wa-Afrika tumelala sana.

Ukweli ni kwamba Norwegians wa5 wajisimamie wenyewe tu hawataweza unless otherwise wapewe nafasi za juu za uongozi.
 
huo ni ukweli, kwa mfano hata sisi tubadirishane nchi na USA, CCM watafanya kila kilicho chao baadaye USA itakuja kuomba misaada Tanzania.
Kwa maelezo yako uko sahihi, Ila kwa maelezo ya hiyo "Tweet" si sahihi.

Nigerians wa5 hawawezi kuivuruga Norway ya sasa pia Norwegians wa5 hawawezi kuibadilisha Nigeria.
 
Nakubaliana na mleta mada

Israel ina uchumi wa GDP BILLION 500 Lakini huoni ikitapanya hela kama nchi zingine za jirani hasa za Kiarabu
 
Amesema ukweli, na hata ikiwa ni TZ tena hiyo mwaka mmoja tu inaanza kuomba misaada
 
Back
Top Bottom