Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

Je, unakubaliana nayo hii tweet ?View attachment 3177140

Wako sahihi kabisa, zile metro zote zitakuwa mbovu, zile oil rigs zote baharini zitazama, zile ship/drill ship/rigs building yard zote zitakufa.

Halafu Norway itaanza kuwa ombaomba, itaanza kuwa na raia masikini, itaanza kuwa inaongeza kwa rushwa na wizi wa mali za umma.
 
Before they came and conquer, abuse, squander and exploit how were things then ?

Ni kweli ili system (let me give an example of ecosystem) iweze kufanya kazi lazima kuwe na a balance na sustainability..., na kinachoharibu Africa kwa muda mrefu sana hata wakati tuna viongozi bora wenye vision na walioliwepo kwa ajili ya watu (hata mmoja kabla hawajamuua aliwahi kusema It is better to Move One Step with People than Ten Steps Without - Thomas Sankara).., kipindi hicho kulikuwa na marginalizaition na faulo za kutosha yaani mifumo iliyojengwa kutoa wealthy Undeveloped Countries kwenda Developed....

Mbaya zaidi leo hii hata bila faulo, hatuna viongozi zaidi ya wachumia matumbo wanaouza nchi zao sababu ya vijipasenti vidogo vya wao na jamaa zao...



Kwahio ukichukua viongozi wa Afrika na kuwapeleka huko ni kweli hilo litatokea ila ukiwachukua wananchi na kuwapeleka kwenye system which works they will make it better..., after all dunia hii na mengi ya sasa ya huko yamejengwa kwa nguvu za watumwa ambao wengi wao walitoka Afrika
 
Wanaijeria wana lalamikiwa popote duniani kwa mambo ya hovyo hovyo.
 
Lini tuliwahi kuwa na viongozi bora ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…