Inahitaji nguvu ya kichawi na roho ya kiduwanzi sana kuweza kusamehe na kukubali maridhiano

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Wakristo wanafundishwa toba na msamaha.. Kusamehe saba mara sabini.. Kusamehe kabla jua halijakuchwa... Lakini zaidi ya yote kusamehe na kusahau!

Tunakoseana mengi..! Tunasameheana mengi..! Tunasahau mengi tena na tena! Lakini

Kamwe hatusamehe ya makusudi

Kamwe hatusamehe ya kudhamiria

Kamwe hatusamehe ya kupanga

Kamwe hatusamehe ya kudharauliwa, kubezwa na kuchekwa!

Vita havijawahi kuamua ugomvi .. Bali meza ya mazungumzo... Lakini inategemea unazungumza na nani.. Unazungumza nini... Ili upate nini..!

Mtu aliyekudharau kwa kila hali na akakufanyia kila aina ya ubaya.. Akakutesa.. Akakuumiza.. Akakupa majeraha ya kimwili na kiroho.. Mtu ambaye ameinajisi ardhi kwa damu zisizo na hatia.. Mtu ambaye mikono yake imejaa damu unaweza kuketi naye meza moja kwa mazungumzo?

Wakati akikuomba mkae chini myajenge nyumba yake kaficha jambia

Ndugu na jamaa zako kawamaliza na kuwatupa kusikojulikana

Kawaweka wengine kwenye nyumba za siri za mateso wanaishi kama wako jehenum au akhera
Kuna wengine kawabambikia kesi za kutisha

Kakuibia haki zako za kuishi kuamua kutenda kufikiri mpaka hisia...🚯

Tuanze na uwajibikaji kabla ya maridhiano.. Waliohusika wore kuanzia juu kabisa mpaka chini kabisa wawajibishwe kila mmoja kwa uzito wake na nafasi yake.. Na hili lifanyike kwa uwazi na weledi mkubwa..

Likishakamilika hili tuitaneni sasa kwenye meza ya mazungumzo.. Na si vinginevyo...!!!!🚯🚯🚯🚯
 
Kama unaishi Tanzania na unafamilia nadhani utaelewa maana ya kusamehe saba mara sabini kama utakuwa umesoma habari ya yule jamaa anaitwa ninja. Wote tumeathirika ila kuathirika kwetu kusitufanye tukabomoa nyumba yetu na kusababisha madhara kwa wake na watoto wetu. Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali kaka
 
Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali
Hiki ndio kinawapa kiburi na kuendelea kutubagaza na kubananga
 
Kama unaishi Tanzania na unafamilia nadhani utaelewa maana ya kusamehe saba mara sabini kama utakuwa umesoma habari ya yule jamaa anaitwa ninja. Wote tumeathirika ila kuathirika kwetu kusitufanye tukabomoa nyumba yetu na kusababisha madhara kwa wake na watoto wetu. Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali kaka
Father Hakuna Hawa watu wametuona kama mavi yao
 
Wakristo wanafundishwa toba na msamaha.. Kusamehe saba mara sabini.. Kusamehe kabla jua halijakuchwa... Lakini zaidi ya yote kusamehe na kusahau!

Tunakoseana mengi..! Tunasameheana mengi..! Tunasahau mengi tena na tena! Lakini

Kamwe hatusamehe ya makusudi

Kamwe hatusamehe ya kudhamiria

Kamwe hatusamehe ya kupanga

Kamwe hatusamehe ya kudharauliwa, kubezwa na kuchekwa!

Vita havijawahi kuamua ugomvi .. Bali meza ya mazungumzo... Lakini inategemea unazungumza na nani.. Unazungumza nini... Ili upate nini..!

Mtu aliyekudharau kwa kila hali na akakufanyia kila aina ya ubaya.. Akakutesa.. Akakuumiza.. Akakupa majeraha ya kimwili na kiroho.. Mtu ambaye ameinajisi ardhi kwa damu zisizo na hatia.. Mtu ambaye mikono yake imejaa damu unaweza kuketi naye meza moja kwa mazungumzo?

Wakati akikuomba mkae chini myajenge nyumba yake kaficha jambia

Ndugu na jamaa zako kawamaliza na kuwatupa kusikojulikana

Kawaweka wengine kwenye nyumba za siri za mateso wanaishi kama wako jehenum au akhera
Kuna wengine kawabambikia kesi za kutisha

Kakuibia haki zako za kuishi kuamua kutenda kufikiri mpaka hisia...🚯

Tuanze na uwajibikaji kabla ya maridhiano.. Waliohusika wore kuanzia juu kabisa mpaka chini kabisa wawajibishwe kila mmoja kwa uzito wake na nafasi yake.. Na hili lifanyike kwa uwazi na weledi mkubwa..

Likishakamilika hili tuitaneni sasa kwenye meza ya mazungumzo.. Na si vinginevyo...!!!!🚯🚯🚯🚯
Maridhiano ni kati ya SAMIA na KIKWETE
 
Kama unaishi Tanzania na unafamilia nadhani utaelewa maana ya kusamehe saba mara sabini kama utakuwa umesoma habari ya yule jamaa anaitwa ninja. Wote tumeathirika ila kuathirika kwetu kusitufanye tukabomoa nyumba yetu na kusababisha madhara kwa wake na watoto wetu. Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali kaka
Even serikali yenyewe haisamehi murders, is why kuna kifungo cha maisha au kuhukumiwa kunyongwa
 
Kama unaishi Tanzania na unafamilia nadhani utaelewa maana ya kusamehe saba mara sabini kama utakuwa umesoma habari ya yule jamaa anaitwa ninja. Wote tumeathirika ila kuathirika kwetu kusitufanye tukabomoa nyumba yetu na kusababisha madhara kwa wake na watoto wetu. Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali kaka
Kanuni ya kusamehe iko very straight, haipindishi ukweli na haina unafiki ndani yake.

Kanuni ya kusamehewa inatanguliwa na haya:

KANUNI #1: Aliyekosea hukiri kosa lake mbele ya aliyemkosea, kisha hutubu na kujutia makosa yake na kuamua kwa dhati ya moyo wake kuacha kutenda tena hayo makosa kwa makusudi na kudhamiria!

SWALI: Samia na genge lake la kihuni kakiri makosa ya serikali yake?

JIBU NI: Hapana kubwa. Unachokiona kwa huyu mama ni unafiki mtupu kuanzia usoni, maneno/kauli zake ambazo zinatoa taswira ya kilicho ndani ya moyo/nafsi yake.

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa nilikosea kuingia na kuruhusu kufanyika kwa uchaguzi katikati ya mazingira ya dhuluma na yasiyo haki!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa, nilikosea kufunga wapinzani wangu kisiasa (Tundu Lissu na CHADEMA) na kuwafungulia mashitaka mabaya ya ugaidi na uhaini ya uongo wa kutengeneza!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa nilikosea kuamuru kufunga makanisa ya wakristo ili wasiabudu Mungu wao wa kweli kinyume cha utaratibu na kwa sababu za uongo!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa ameteka, kuumiza na kuua wengi wa waliomkosoa kabla ya uchaguzi na kuua wengine maelfu ya vijana, watoto, kina mama na kinababa waliokuwa wanaandamana kuanzia tarehe 29/10 hadi 31/10 kupinga zoezi la uchaguzi haramu, usiokubaliwa na wananchi wote!

KANUNI #2: Msamaha hudai malipizi kwa maana ya kurejesha au kufidia. Ktk scenario ya kilichotokea ktk nchi yetu, malipizi yanayotakiwa kufanyika ili kukamilisha tendo la kusameheana ni haya:

👉🏻Wote waliohusika na kuotoa amri ya kuua wawajibike kwa kuchukuliwa hatua za kisheria bila kuoneana haya au aibu

👉🏻Walioathirika (kwa kufiwa, kupoteza mali zao na walioteswa na kufunguliwa mashitaka ya uongo na kuaathiri kisaikolojia na kuwapotezea muda na mali zao) wafarijiwe ktk namna tutakavyoamua kuwa inafaa ikiwemo kulipwa fidia

👉🏻Zitolewe takwimu za kweli za watu waliouwawa, wako wapi na maiti hao wazikwe kwa heshima zote kwa gharama za Samia na genge lake la mauaji na utekaji

SWALI: Haya yamefanyika? Ameyasema boldly ktk hotuba yake?

JIBU: Hapana kubwa!!. Ni unafiki mtupu na kwa sbb hii sidhani kama kuna mwananchi mwenye fikra huru anaweza kumwamini huyu mama na serikali yake feki yote

HITIMISHO: Huyu mama hamaanishi chochote. Hajutii chochote. Ni full mnafiki na bado amejaa na kuzingirwa na roho ya ujeuri, kiburi cha madaraka na dharau kama alivyokuwa mfalme Farao wa Misri ya kale. Huyu mama anatumia ujanja ujanja ule ule wa kifarao.

Mfalme Farao wa Misri ya kale, naye ilipotokea kuwa amebanwa sana, alijitokeza kinafiki na kujifanya amekubaliana na madai ya Musa na kusema ondokeni mwende. Lakini mara Musa akimpa kisogo tu, hapo hapo alibadilika na kurudia ujeuri na kiburi cha ugumu wa moyo wake

Ni mpaka pale alipoteketezwa kabisa ndipo ushetani wake uliookomeshwa na kwisha kabisa

Hii hali naiona kwa Samia na genge lake la wahuni. Hawa ni wanafiki. Kwa sasa wanataka kupoza mambo tu lakini baada ya muda kidogo mauaji na utekaji dhidi ya wakosoaji wa utawala wake watauwawa na kuteswa sana

Huyu hapaswi kuaminiwa kabisa. Huyu ni lazima atoke na kupotezwa sasa na sio kesho. TUSIKUBALI UNAFIKI WAKE!!
 
Wapumbavu sana hao watu. mtu anakuambia, “tukimaliza kufanya ujambazi, tutafanya maridhiano ndani ya siku 100.”
 
watanzania wanahitaji maridhiano ndugu na uzuri 4R zilishaanza na mama katoa mkono tena kuwaita wanachadema kwa upendo
 
Kama unaishi Tanzania na unafamilia nadhani utaelewa maana ya kusamehe saba mara sabini kama utakuwa umesoma habari ya yule jamaa anaitwa ninja. Wote tumeathirika ila kuathirika kwetu kusitufanye tukabomoa nyumba yetu na kusababisha madhara kwa wake na watoto wetu. Tunahitaji kuilinda nchi yetu kwa hali na mali kaka
Kuilinda kwa kuuwa watu!?
 
Kanuni ya kusamehe iko very straight, haipindishi ukweli na haina unafiki ndani yake.

Kanuni ya kusamehewa inatanguliwa na haya:

KANUNI #1: Aliyekosea hukiri kosa lake mbele ya aliyemkosea, kisha hutubu na kujutia makosa yake na kuamua kwa dhati ya moyo wake kuacha kutenda tena hayo makosa kwa makusudi na kudhamiria!

SWALI: Samia na genge lake la kihuni kakiri makosa ya serikali yake?

JIBU NI: Hapana kubwa. Unachokiona kwa huyu mama ni unafiki mtupu kuanzia usoni, maneno/kauli zake ambazo zinatoa taswira ya kilicho ndani ya moyo/nafsi yake.

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa nilikosea kuingia na kuruhusu kufanyika kwa uchaguzi katikati ya mazingira ya dhuluma na yasiyo haki!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa, nilikosea kufunga wapinzani wangu kisiasa (Tundu Lissu na CHADEMA) na kuwafungulia mashitaka mabaya ya ugaidi na uhaini ya uongo wa kutengeneza!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa nilikosea kuamuru kufunga makanisa ya wakristo ili wasiabudu Mungu wao wa kweli kinyume cha utaratibu na kwa sababu za uongo!

👉🏻Tunataka akiri hadharani kuwa ameteka, kuumiza na kuua wengi wa waliomkosoa kabla ya uchaguzi na kuua wengine maelfu ya vijana, watoto, kina mama na kinababa waliokuwa wanaandamana kuanzia tarehe 29/10 hadi 31/10 kupinga zoezi la uchaguzi haramu, usiokubaliwa na wananchi wote!

KANUNI #2: Msamaha hudai malipizi kwa maana ya kurejesha au kufidia. Ktk scenario ya kilichotokea ktk nchi yetu, malipizi yanayotakiwa kufanyika ili kukamilisha tendo la kusameheana ni haya:

👉🏻Wote waliohusika na kuotoa amri ya kuua wawajibike kwa kuchukuliwa hatua za kisheria bila kuoneana haya au aibu

👉🏻Walioathirika (kwa kufiwa, kupoteza mali zao na walioteswa na kufunguliwa mashitaka ya uongo na kuaathiri kisaikolojia na kuwapotezea muda na mali zao) wafarijiwe ktk namna tutakavyoamua kuwa inafaa ikiwemo kulipwa fidia

👉🏻Zitolewe takwimu za kweli za watu waliouwawa, wako wapi na maiti hao wazikwe kwa heshima zote kwa gharama za Samia na genge lake la mauaji na utekaji

SWALI: Haya yamefanyika? Ameyasema boldly ktk hotuba yake?

JIBU: Hapana kubwa!!. Ni unafiki mtupu na kwa sbb hii sidhani kama kuna mwananchi mwenye fikra huru anaweza kumwamini huyu mama na serikali yake feki yote

HITIMISHO: Huyu mama hamaanishi chochote. Hajutii chochote. Ni full mnafiki na bado amejaa na kuzingirwa na roho ya ujeuri, kiburi cha madaraka na dharau kama alivyokuwa mfalme Farao wa Misri ya kale. Huyu mama anatumia ujanja ujanja ule ule wa kifarao.

Mfalme Farao wa Misri ya kale, naye ilipotokea kuwa amebanwa sana, alijitokeza kinafiki na kujifanya amekubaliana na madai ya Musa na kusema ondokeni mwende. Lakini mara Musa akimpa kisogo tu, hapo hapo alibadilika na kurudia ujeuri na kiburi cha ugumu wa moyo wake

Ni mpaka pale alipoteketezwa kabisa ndipo ushetani wake uliookomeshwa na kwisha kabisa

Hii hali naiona kwa Samia na genge lake la wahuni. Hawa ni wanafiki. Kwa sasa wanataka kupoza mambo tu lakini baada ya muda kidogo mauaji na utekaji dhidi ya wakosoaji wa utawala wake watauwawa na kuteswa sana

Huyu hapaswi kuaminiwa kabisa. Huyu ni lazima atoke na kupotezwa sasa na sio kesho. TUSIKUBALI UNAFIKI WAKE!!
Ndio kwanza wanajihami
 
🥺🥺🥺🥺😭😭😭🚯🚯🚯
IMG-mhzeslvf.jpg
 
Back
Top Bottom