ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Hivi mtu umetoka kuzika nguo yaan nguo za marehem...harafu mtu anakuja na story za maridhiano mamaaaee hebu tuacheni kwanza tumevurugwa acha tuvurugane kwanza kila mtu awe na heshima .
Kama Rais amechanguliwa na asilimia 98 ya wananchi, anataka kuridhiana nani? Maana hiyo percentage ya kura alizopata inamaanisha anakubalika nchi nzimaWakristo wanafundishwa toba na msamaha.. Kusamehe saba mara sabini.. Kusamehe kabla jua halijakuchwa... Lakini zaidi ya yote kusamehe na kusahau!
Tunakoseana mengi..! Tunasameheana mengi..! Tunasahau mengi tena na tena! Lakini
Kamwe hatusamehe ya makusudi
Kamwe hatusamehe ya kudhamiria
Kamwe hatusamehe ya kupanga
Kamwe hatusamehe ya kudharauliwa, kubezwa na kuchekwa!
Vita havijawahi kuamua ugomvi .. Bali meza ya mazungumzo... Lakini inategemea unazungumza na nani.. Unazungumza nini... Ili upate nini..!
Mtu aliyekudharau kwa kila hali na akakufanyia kila aina ya ubaya.. Akakutesa.. Akakuumiza.. Akakupa majeraha ya kimwili na kiroho.. Mtu ambaye ameinajisi ardhi kwa damu zisizo na hatia.. Mtu ambaye mikono yake imejaa damu unaweza kuketi naye meza moja kwa mazungumzo?
Wakati akikuomba mkae chini myajenge nyumba yake kaficha jambia
Ndugu na jamaa zako kawamaliza na kuwatupa kusikojulikana
Kawaweka wengine kwenye nyumba za siri za mateso wanaishi kama wako jehenum au akhera
Kuna wengine kawabambikia kesi za kutisha
Kakuibia haki zako za kuishi kuamua kutenda kufikiri mpaka hisia...🚯
Tuanze na uwajibikaji kabla ya maridhiano.. Waliohusika wore kuanzia juu kabisa mpaka chini kabisa wawajibishwe kila mmoja kwa uzito wake na nafasi yake.. Na hili lifanyike kwa uwazi na weledi mkubwa..
Likishakamilika hili tuitaneni sasa kwenye meza ya mazungumzo.. Na si vinginevyo...!!!!🚯🚯🚯🚯
Anaandika Boniface Mwabukusi..Kama Rais amechanguliwa na asilimia 98 ya wananchi, anataka kuridhiana nani? Maana hiyo percentage ya kura alizopata inamaanisha anakubalika nchi nzima
By the way,hakuna mwananchi aliekufa wala mali zilizoharibika,hizo picha zimetengenezwa kuzua taharuki
Na kubwa zaidi waliofanya fuji ni vijana kutoka nchi jirani, nadhauri afanye maridhiano na vijana kutoka nchi jirani
Sisi watanganyika hatuhitaji maridhiano,tupo busy na misiba na maziko na maomboleze ya maelfu ya wapendwa wetu waliouawa kikatili na mwanamke wa kizanzibari
Mi nadhani neno la kiswahili linalotumika laweza kuwa si sahihi katika muktadha huu!Wakristo wanafundishwa toba na msamaha.. Kusamehe saba mara sabini.. Kusamehe kabla jua halijakuchwa... Lakini zaidi ya yote kusamehe na kusahau!