Cc 1290we bwana wacha ichafua passo,, we ka passo kako ka cc 990 alafu dashboard kanasoma km 509888 wadhani kataacha chemsha hata ukitia reverse tu ya dakika mbili,, wacha bhanaaa.. kati ya gari ndogo zinazofanya vyema mjini ni Paasso na kama una safari ndefu ya cc 1200 is the best
Hii me ninayo nishasafili nayo iringa to mwanza… mbeya to iringa.. Dodoma iringa ndio mala Kibao. Haijawahi nisumbua hata siku mojaJmn paso piston 4 ni nzur sana hamjui tu tena inanguv sana bac tu
Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisiKuna MTU alienda Rwanda na passo.
Hiyo Gari yako inachemka kwasababu hujatoa thermostat
Wengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisi
Ukiitoa unaichanganya control box na baadae utaona gari inaanza matatizo mengine kama kula mafuta nk.Thermostat haitakiwi kuondoka katika gariWengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!
Wengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisi
Tatizo wewe hata uwezo wa kumiliki bodaboda huna.Bora kumiliki bajaj kuliko Passo
Wewe ndio wa kijiweni zaidi huna unalolijuwa, VW siyo Japanese Car haipo kwenye orodha ya cheap Car., hapo ni mwisho hutojuta ukiwa nayo tatizo ni wakat ukitaka kuiuza tu, wabongo still story za vijiwen kuhusu Volkswagen zinatusumbua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Narudia, passo ni sawa na wheel Barrow yenye injini. Usithubutu kununua.
Wewe ndio wa kijiweni zaidi huna unalolijuwa, VW siyo Japanese Car haipo kwenye orodha ya cheap Car.
Kama umewahi kufika South Africa au una rafiki muulize Golf zinaendeshwa na watu wa aina gani kule?
South Africa BMW haina ushawishi kwa vijana kuishinda VW.
Ungejipa muda tu wa kujiuliza ni kwa nini Wabongo hawaingizi VW kutoka South Africa ungepata jibu.
Ukitaka kuliuza pia na spea ni ghali,km ulizoea spea za starlet hiyo spea utaona ni mzigo!, hapo ni mwisho hutojuta ukiwa nayo tatizo ni wakat ukitaka kuiuza tu, wabongo still story za vijiwen kuhusu Volkswagen zinatusumbua
Ukitaka kuliuza pia na spea ni ghali,km ulizoea spea za starlet hiyo spea utaona ni mzigo!
Tunapambana na hali zetu mkuu,kuna jamaa'ngu alinunua ford escape mbona lilimshinda akaliuza bei ya hasara akarudi kwa rav4 old model,kibongo bongo ukitaka kumiliki gari tofauti na ya mjep lzm ujipange,usiwe bahili!!Tukipenda cheap huwa inagharimu later, ndo kilio cha spea za Toyota, sema umasikin huwa unatunyima kupata vzr
Lengo la kununua gari si uishi kuvizia nani anasafiri ughaibuni akakununulie spea. Huo ni upuz wa kiwango cha Zamaradi. Tafuta gari size Ya kati yenye uwezo wa kuhimili safari ndefu na spea bwerere. Si ukajitwishe sijui Passo kidubwasha kinachemsha kile hatariUkitaka kuliuza pia na spea ni ghali,km ulizoea spea za starlet hiyo spea utaona ni mzigo!
Pia Tofautisha Passo ya Piston 3 na ile ya Piston 4Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?
Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.