Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

we bwana wacha ichafua passo,, we ka passo kako ka cc 990 alafu dashboard kanasoma km 509888 wadhani kataacha chemsha hata ukitia reverse tu ya dakika mbili,, wacha bhanaaa.. kati ya gari ndogo zinazofanya vyema mjini ni Paasso na kama una safari ndefu ya cc 1200 is the best
Cc 1290
 
Jmn paso piston 4 ni nzur sana hamjui tu tena inanguv sana bac tu
Hii me ninayo nishasafili nayo iringa to mwanza… mbeya to iringa.. Dodoma iringa ndio mala Kibao. Haijawahi nisumbua hata siku moja
 
Ndo maana wengine tunatumia gari ya alionunua baba mpaka mjukuu anatumia (Toyota Corolla xe inadunda barabarani kuliko matoleo ya hivi karibuni
 
Toyota Corolla ni balaaa. Utaichoka lakini bado inadai. Sijawahi kuona Corolla ikiwa juu ya mawe kama gari nyingine
 
Kuna MTU alienda Rwanda na passo.
Hiyo Gari yako inachemka kwasababu hujatoa thermostat
Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisi
 
Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisi
Wengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!
 
Wengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!
Ukiitoa unaichanganya control box na baadae utaona gari inaanza matatizo mengine kama kula mafuta nk.Thermostat haitakiwi kuondoka katika gari
 
Mafundi wa kibongo hupenda sana kuisingizia Thermostat. Thermostat ni sehemu ya Engine na haipaswi kutolewa.Ukitoa tu matatizo lukuki yataanza.Yaani ni sawa na kuku unamtoa firigisi
Wengine sio mafundi ila wamekaririshwa tu,alietengeneza thermostat akaiweka kwny gari sio mjinga!
 
467dbe4656f39713764d21425a032214.jpg
8d4bc5b732b83f7e5a6c8097f1eeaaf5.jpg
, hapo ni mwisho hutojuta ukiwa nayo tatizo ni wakat ukitaka kuiuza tu, wabongo still story za vijiwen kuhusu Volkswagen zinatusumbua
 
Bora kumiliki bajaj kuliko Passo
Tatizo wewe hata uwezo wa kumiliki bodaboda huna.

Hizo Passo utaishia kuziona kwa watu tu, wanaomiliki magari wanaujuwa ubora wa Passo hasa kwenye swala la fuel consumption.

Mada kama hizi kaa pembeni uwe msomaji tu huna unalolijuwa.

Passo ndani ina space kubwa kuliko gari yoyote kati ya hizi gari ndogo, na kwa matumizi ya usafiri wa mjini hili ni gari la kijanja hasa usawa huu wa Magufuli.

Tunaomiliki magari tunafahamu vyema gharama za kumantain station wagon na siyo wewe muosha kinywa.

Pambana na hali yako uweze kumiliki hata bodaboda Sun LG.
 
Nasikia passo na vitz huendi sheli kuweka wese unaipaka mafuta tu kama vile MTU ametoka kuoga huyoooo unachomoka ma kilometer
 
467dbe4656f39713764d21425a032214.jpg
8d4bc5b732b83f7e5a6c8097f1eeaaf5.jpg
, hapo ni mwisho hutojuta ukiwa nayo tatizo ni wakat ukitaka kuiuza tu, wabongo still story za vijiwen kuhusu Volkswagen zinatusumbua
Wewe ndio wa kijiweni zaidi huna unalolijuwa, VW siyo Japanese Car haipo kwenye orodha ya cheap Car.

Kama umewahi kufika South Africa au una rafiki muulize Golf zinaendeshwa na watu wa aina gani kule?

South Africa BMW haina ushawishi kwa vijana kuishinda VW.

Ungejipa muda tu wa kujiuliza ni kwa nini Wabongo hawaingizi VW kutoka South Africa ungepata jibu.
 
Ila bongo c zipo or hujawah kuziona?, kwa gari ndogo nying za Toyota zinatofautiana Na VW million 2 or 3, coz now ist ni mil 10.8 but VW ni million 12 - 13 unapata, sema still wabongo tunakariri ijapokuwa spea zake zipo juu but huwez kufananisha namba C ya VW na gari yyt ndogo ya Toyota
 
467dbe4656f39713764d21425a032214.jpg
8d4bc5b732b83f7e5a6c8097f1eeaaf5.jpg
, hapo ni mwisho hutojuta ukiwa nayo tatizo ni wakat ukitaka kuiuza tu, wabongo still story za vijiwen kuhusu Volkswagen zinatusumbua
Ukitaka kuliuza pia na spea ni ghali,km ulizoea spea za starlet hiyo spea utaona ni mzigo!
 
Tukipenda cheap huwa inagharimu later, ndo kilio cha spea za Toyota, sema umasikin huwa unatunyima kupata vzr
Tunapambana na hali zetu mkuu,kuna jamaa'ngu alinunua ford escape mbona lilimshinda akaliuza bei ya hasara akarudi kwa rav4 old model,kibongo bongo ukitaka kumiliki gari tofauti na ya mjep lzm ujipange,usiwe bahili!!
 
Ukitaka kuliuza pia na spea ni ghali,km ulizoea spea za starlet hiyo spea utaona ni mzigo!
Lengo la kununua gari si uishi kuvizia nani anasafiri ughaibuni akakununulie spea. Huo ni upuz wa kiwango cha Zamaradi. Tafuta gari size Ya kati yenye uwezo wa kuhimili safari ndefu na spea bwerere. Si ukajitwishe sijui Passo kidubwasha kinachemsha kile hatari
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Pia Tofautisha Passo ya Piston 3 na ile ya Piston 4
 
Back
Top Bottom