Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Unaposema motor vehicle basi huwezi ku-ignore vitu kama comfort na safety features.

Sasa sidhani kama ukiwa kwenye Passo unapata comfort yoyote ile, achilia mbali safety.
Toyota sio wajinga kutengeneza aina hiyo ya gari.
Tena for export. Mwenye ghorofa hamcheki mwenye Mgongo wa tembo, bali asiye na kibanda humcheka mwenye Tembe
 
Unaposema motor vehicle basi huwezi ku-ignore vitu kama comfort na safety features.

Sasa sidhani kama ukiwa kwenye Passo unapata comfort yoyote ile, achilia mbali safety.

Try the rid Bro
 
Unataka uwe inakainua kushindilia mafuta!?
 
Naona jinsi wenye passo watabubujikwa na machozi wakiona huu uzi
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
Toyota Starlet..
 
Afu weza kuta wanaobishania humu hata baiskeli hana, mtu alie miliki gari zaidi ya mwaka mmoja akajua changamoto zake ataelewa umuhimu wa kuwa na gar kwanza cheap pili lenye kukufanya uwe na matumizi madogo
 
na ndio hasa zimebuniwa kwa town trips tu! Ukisafiri kaa kwenye 6 au v8 utainjoy safari!
Mjapan alitengeza gari chini ya mwaka 2000...sasa hivi anafyatua gari kulingana na fashion tu maana gari zingine unaona kabisa zipo kwa ajili ya matumizi ya kawaida...just imagine kuna Toyota Corolla za miaka ya 90 huko zinaonekana imara kuliko gari za sasa latest na hata ukienda garage unakuta gari nyingi zimekufa na kwa wale waumini wa kununua gari kwa matanganazo ya gari hiyo ni namba C ama D si kwa kupigwa huko.

Nina ka-corolla xe nadhani itabidi nikaweke kwenye makumbusho aisee, pamoja na kupiga nacho masafa ya zaidi ya kilometer 700 lakini bado kanakwenda sambamba na gari zingine though barabarani tunazidiana speed kutokana na power ya injini lakini mwisho wa siku bado kanakomaa nikilinganisha na magari ya sasa yaani yakipata mtulinga kidogo yanakuwa hoi
 
Toyota sio wajinga kutengeneza aina hiyo ya gari.
Tena for export. Mwenye ghorofa hamcheki mwenye Mgongo wa tembo, bali asiye na kibanda humcheka mwenye Tembe
Hivi unajua kuna tofauti kubwa sana ya mtu anayeridhika na mshahara na yule ambae akipewa mshahara basi ni kujikimu tu.

Sasa unachojaribu kusema hapa ni kuamini kwamba yupo mtu ambae anapewa mshahara wa kujikimu halafu anajifanya kuridhika nao.

Watu wa PASSO hizo gari wanaziendesha kwa mateso sana na wanajua hilo. Ndio maana ukikutana na mtu wa PASSO, yupo tayari kulipark mita 200 huko halafu aje kwa miguu ndio muonane (kwa maneno mengine ni kwamba analificha gari lake). Hiyo pekee ni kwamba wamiliki PASSO hawapo comfortable na hizo baby walker zao.
 
Hajui kwa nini kanunua with millions.? Unalificha halafu unaendesha barabarani kweupe.
 
Passo ni Gar nzuri ya kuendea ofisin, ila mwenye chombo azuie VIFUATAVYO.
1. Asiwe mtu wa league barabarani
2. Asiwe mtu wa Safar ndef za mara kwa mara.
3. Anapoishi awe na uhakika wa uwepo wa lami la sivyo ataifunika na turubai nyumban
 
Passo ni Gar nzuri ya kuendea ofisin, ila mwenye chombo azuie VIFUATAVYO.
1. Asiwe mtu wa league barabarani
2. Asiwe mtu wa Safar ndef za mara kwa mara.
3. Anapoishi awe na uhakika wa uwepo wa lami la sivyo ataifunika na turubai nyumban
Sasa kuna binadamu gani anataka kuishi with all those limitations na gari lake!?
 
Kila Gar ina matatizo yake, Mfano Prado generation ya tatu ina ka ugonjwa ka kuchomoka matair kwa hiyo siyo ya kuamin sana na kuikimbiza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole pole boss.....unaumiza roho za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…