ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Toyota sio wajinga kutengeneza aina hiyo ya gari.Unaposema motor vehicle basi huwezi ku-ignore vitu kama comfort na safety features.
Sasa sidhani kama ukiwa kwenye Passo unapata comfort yoyote ile, achilia mbali safety.
Tena for export. Mwenye ghorofa hamcheki mwenye Mgongo wa tembo, bali asiye na kibanda humcheka mwenye Tembe