passo ni toroli za kuzungusha wacheza gofu kwenye vile viwanja vyao. sasa huku tumekomalia gari za kusafiria
Kitu toyota IST
Ingekuwa amri yangu ningepiga ban gari za kipuuzi zisitumike maeneo ya mjini kabisa labda mikoani huko.Exception ni kama zikiwa kwenye kampuni ya taxi na zisizidi miaka mitatu from manufactured date.
Kwa wote wenye plates za njano nahitaji kuona SUV za maana tu jijini Dar, na executive sedans, series 7 bmw, s class, royal crown, jaguar xf, ls 500 and the like! Zote zitembeazo zisizidi 5 years from manufactured date.
Sio kujaza barabara na mataka taka foleni tu za kijinga. Wasioweza wapande mwendokasi ziwekwe kila route,treni ama wanunue pikipiki!
Eeh hakuna sababu ya kujaza upuuzi mjini, nashindwa elewa kwa nini mamlaka husika hazija establish standards. Sahivi ni kila mtu anajinunulia tu gari kiholela. Emission standards hazizingatiwi ila ipo day tu kuna watu wataamka na kilio cha ban ya ghafla. Si tupo!!!Kamanda xiro hizi gari zizuiwe kufika mjini-city centre kama zilivyo bodaboda maana zinaongeza uhalifu. Halafu ziwe mwisho saa 5 usiku. Nawasilisha.
Mkuu bado una uchunguNarudia, passo ni sawa na wheel Barrow yenye injini. Usithubutu kununua.
Yaani sie tunaopokea mshahara wa laki 5 pia mnataka tumiliki hayo marengi rover!?? Aisee Mungu anawaona [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ingekuwa amri yangu ningepiga ban gari za kipuuzi zisitumike maeneo ya mjini kabisa labda mikoani huko.Exception ni kama zikiwa kwenye kampuni ya taxi na zisizidi miaka mitatu from manufactured date.
Kwa wote wenye plates za njano nahitaji kuona SUV za maana tu jijini Dar, na executive sedans, series 7 bmw, s class, royal crown, jaguar xf, ls 500 and the like! Zote zitembeazo zisizidi 5 years from manufactured date.
Sio kujaza barabara na mataka taka foleni tu za kijinga. Wasioweza wapande mwendokasi ziwekwe kila route,treni ama wanunue pikipiki!
Kwani TRA kuna nini huko ndugu tufahamishane?Unamkuta mtu yupo TRA lakini anaendesha PASSO. Mambo ya ajabu kabisa haya.