Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
Duuh! Parefu kweli... Vipi nikiwa na milioni moja labda na nusu hivi haiwezekani kabisa!!?Ata least uwe na angalau million 50 mkuu
Itakuwa safi sana akija kutoa muongozo....Mtaalam wa haya mambo, Binti mdogo kabisa mrembo na tajiri amu atakuja kutoa muongozo.
Lakini Kwa huu mwendo wa ongezeko la tozo hii biashara ya uwakala wa mabenki inalipa kweli? Najua itategemeana na eneo unalotaka kufanyia hii biashara nikimaanisha mzunguko na pia ukubwa wa mtaji wako.
Hakuna biashara ambayo wewe utakuwa ni wa kwanza kuifanya. Chochote unachokifanya jua kwamba kuna mtu alishawahi kufanya na pengine wewe ndiyo utakifanya kwa ustadi zaidi ya waliotangulia hivyo usiogope.Hizi biashara za kuigana zimejaa kila kona
Bora utafute aina nyingine na kwenda na wakati
Tuwe wabunifu
Unisamehe bure
Labda ufungue kiwanda ndio kidoogo utakuwa hujaiga ila biashara nyingine sema cha kuzingatia labda locationHizi biashara za kuigana zimejaa kila kona
Bora utafute aina nyingine na kwenda na wakati
Tuwe wabunifu
Unisamehe bure
Hakuna biashara ambayo wewe utakuwa ni wa kwanza kuifanya.
Chichote unachofanya kuna mtu alishawahi kufanya na pengune wewe ndiyo utakifanya kwa ustadi zaidi.
Cha muhimu ni kuboresha ya kwako ili kutumia mapungufu ya wengine.
Labda ufungue kiwanda ndio kidoogo utakuwa hujaiga ila biashara nyingine sema cha kuzingatia labda location
Elimu nzuri sana hiiBiashara ya Uwakala wa benki, mtaji wake inategemeana na mzunguko wako. Wateja wako ndiyo wataamua ni kiasi gani cha mtaji kiasi gani uwekeze.
Lakini ukitaka kufanya kwa ufanisi, walau uwe na 20m.
Vitu vya kuzingatia ni namna ya kuulinda mtaji wako. Iwe ni kuepuka wizi, kutapeliwa na kupata hasara zinazoepukika, mfano pesa bandia nk
Swala la pili, uaminifu. Hili jambo lilipaswa kuwa la kwanza lakini mtaji wako ni muhimu zaidi. Kuwa mwaminifu kwa mteja na Mungu pia. Usimuibie mteja au kumtoza gharama zisizokuwepo. Mfano, kumpa mteja hela ambayo haijatimia au kumpa hela ambayo ni bandia. Pia, kumtoza mteja gharama za ziada. Malipo ya serikali (GePG) hayana faida, lakini si vema kumtoza mteja. Ni bora kutokufanya kuliko kumpandikiza mteja gharama zisizotakiwa.
Tatu, jenga mahusiano bora na mawakala wenzako. Wajue mawakala wako Wakuu. Ili uwe unasaidika kwa haraka. Mteja anakuja kuweka mf 10m,huna kwa wakati huo. Usimuambie sina. Mpigie wakala wako Mkuu akuwekee, kisha umpelekee Cash. Unahitaji kuzoeleka kwanza kabla ya kupata favor hiyo.
Nne, jua aina ya miamala na faida zake. Kuna miamala yenye malipo mazuri haswa ya kutoa na kuweka, manunuzi ya umeme, vocha, nk. Kuna yenye malipo kiduchu,haswa GePG. Achana na malipo kama unaona itanyonya float yako.
Tano, fuata taratibu za kibenki zinavyoelekeza. Wateja wa kutoa wakuonyeshe kitambulisho au wajaze form kabisa. Hii itakusaidia kuepikana na risks za hapa na pale. Utazijua ukiingia humo.
Nitarejea kama kutakuwa na maswali
Kuna biashara kwa mfano zimeanzishwa let say ziko Dar es salaam lakini Iringa/Mbeya haziko so inabidi wewe uwe wa kwanza kuanzisha katika hiyo location ya Mbeya/Iringa huu ndio ubunifu uanaotakiwa na sio kuiga biashara ambayo kwenye kila vichochoro zimejazana.Labda ufungue kiwanda ndio kidoogo utakuwa hujaiga ila biashara nyingine sema cha kuzingatia labda location
Umesema utatoa mfano wa hiyo biashara ya bila kuigana. Nausubiri mfano mtaalam.Kuna biashara nyingi sana duniani ambazo hamzijui na wewe ndio wa kuianzisha au kuiga
Usiseme Hakuna zipo nyingi sana na nitakupa mifano
Hata sehemu zilizokuwa hazina maendeleo walianza kwa vitu ambavyo vilikuwa havipo kwa kuiga mijini na kupeleka wilayani au hata miji kwa miji
Tatizo letu biashara moja kila mmoja anawaza hiyo hiyo ndio maana unakuta mmepangana miaka kibao na maisha ni yaleyale hakuna wa kutoboa
Biashara zipo Mkuu na kuiga kupo sana ila unafungua biashara ambayo itakupeleka mbele kwa faida nzuri na kuikuza pia
Fursa nyingi na kuiga iga ila uwe umeiona nchi nyingine na kuileta home
Shukrani sana mtaalam kwa haya madini. Vipi nikianza na mtaji wa Tsh. 2,000,000/= naweza kuifanya biashara hii kikamilifu kwa mategemeo ya mtaji kuongezeka mbeleni!!?Biashara ya Uwakala wa benki, mtaji wake inategemeana na mzunguko wako. Wateja wako ndiyo wataamua ni kiasi gani cha mtaji kiasi gani uwekeze.
Lakini ukitaka kufanya kwa ufanisi, walau uwe na 20m.
Vitu vya kuzingatia ni namna ya kuulinda mtaji wako. Iwe ni kuepuka wizi, kutapeliwa na kupata hasara zinazoepukika, mfano pesa bandia nk
Swala la pili, uaminifu. Hili jambo lilipaswa kuwa la kwanza lakini mtaji wako ni muhimu zaidi. Kuwa mwaminifu kwa mteja na Mungu pia. Usimuibie mteja au kumtoza gharama zisizokuwepo. Mfano, kumpa mteja hela ambayo haijatimia au kumpa hela ambayo ni bandia. Pia, kumtoza mteja gharama za ziada. Malipo ya serikali (GePG) hayana faida, lakini si vema kumtoza mteja. Ni bora kutokufanya kuliko kumpandikiza mteja gharama zisizotakiwa.
Tatu, jenga mahusiano bora na mawakala wenzako. Wajue mawakala wako Wakuu. Ili uwe unasaidika kwa haraka. Mteja anakuja kuweka mf 10m,huna kwa wakati huo. Usimuambie sina. Mpigie wakala wako Mkuu akuwekee, kisha umpelekee Cash. Unahitaji kuzoeleka kwanza kabla ya kupata favor hiyo.
Nne, jua aina ya miamala na faida zake. Kuna miamala yenye malipo mazuri haswa ya kutoa na kuweka, manunuzi ya umeme, vocha, nk. Kuna yenye malipo kiduchu,haswa GePG. Achana na malipo kama unaona itanyonya float yako.
Tano, fuata taratibu za kibenki zinavyoelekeza. Wateja wa kutoa wakuonyeshe kitambulisho au wajaze form kabisa. Hii itakusaidia kuepikana na risks za hapa na pale. Utazijua ukiingia humo.
Nitarejea kama kutakuwa na maswali
Umesema utatoa mfano wa hiyo biashara ya bila kuigana. Nausubiri mfano mtaalam.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Umesema utatoa mfano wa hiyo biashara ya bila kuigana. Nausubiri mfano mtaalam.
Mkuu hii hela yako ni ndogo, tqfuta 10m, ili uweze kupata mzunguko mzuri. La sivyo utakua unarudisha wateja na watakuzoea mwisho wa siku watajua pale nikienda siwezi pata huduma ya fedha nyingi, unaishia kuua biashara.Shukrani sana mtaalam kwa haya madini. Vipi nikianza na mtaji wa Tsh. 2,000,000/= naweza kuifanya biashara hii kikamilifu kwa mategemeo ya mtaji kuongezeka mbeleni!!?
Hyo ya Gari nyanda za juu kusini ishaingia kitambo sana (Mobile Petrol station) kuna jamaa ana magari yake kwa wilaya mbarali anazunguka sana na kujaza mafuta.Nafikiri franchise hakuna sana huko
Tunaona watu wengi wanakokota pikipiki kwa kuishiwa mafuta (petrol) au hata magari kuishiwa diesel/petrol
Sasa unakuwa na tank kwenye gari kama pickup na unakuwa na simu yako au app kwa wahitaji wako
Najua haipo sana huko au Hakuna kabisa ila inalipa
Kuna business idea nyingi sana online Mkuu unaweza kuziangalia wewe na kuchagua ipi inakufaa kwani zipo ambazo hazihitaji hata mtaji bali wewe tu
Naweza kukupa mifano ila unaweza ukawa huna mpango nao ila ukijisomea utaamua mwenyewe
Wenzetu ni opportunist ikitokea kitu tu wanaichangamkia
Kwa mfano huku zimeingia sana na kutengenezwa gari za Umeme ila charge zake sio nyingi hivyo
Tatizo linakuja kwa mtu anaishi gorofani na hawezi ku charge
Hapo wakajiongeza
Kampuni zimeanza wanakuja kucharge kwako na unawalipa
Hii ni moja ya mfano wa biashara ambayo ilikuwa haipo
Leo magari mengi mapya lazima uweke Adblue na hii itakuja tu huko miaka sio mingi
Je wataalamu wetu wale wa PHd zao watatengeneza Adblue ili tuuze nchi zingine au watasema iwe imported toka Kenya? Wakati ni rahisi sana kuitengeneza
Mkuu tusaidiane kwa biashara na humu wapo wengi wanazijua pia