Mkuu kwanza samahani ila unachoongea siyo sahihi kwa 100% biashara itakupa profit ikiwa umeweza kuwa na foundation nzuri ya hiyo biashara yako na ukaiweka sehemu ambayo ni marketable. Biashara ya uwakala ni nzuri ja turnover yake ni nzuri pia bcoz kila siku na kila wakati transactions zinafanyika, but inategemea upo eneo gani.
Biashara mpya totally hamna!!!!!!!!!!!! Labda ufanye nn sijui biashara unaweza ukaleta mpya lakini Nina uhakika itahitaji technology ambayo haitokuwa marketable huku kwetu.
Fatilia tena report za kimahesabu ndo utajua growth ya biashara ya uwakala, graph yake ina ascend sana kama ilikushinda kwako usimkatishe mtu tamaa bcoz Kuna sehemu wewe ulikwama but mpe changamoto zilizopo na potential risks but stop hiyo Kauli ya kuwa ipo kila sehemu, ni kweli ila ina potential kubwa sana.