Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

Shukrani sana mtaalam kwa haya madini. Vipi nikianza na mtaji wa Tsh. 2,000,000/= naweza kuifanya biashara hii kikamilifu kwa mategemeo ya mtaji kuongezeka mbeleni!!?
2M anza na kuwa wakala wa mitandao tena chagua mtandao mmoja tu uweke hyo fungu au unaweza ukaweka mitandao miwili
 

Sawa kama zipo huko
Ila sijamkatisha tamaa mtu
Ni kupeana ushauri tu ntamkatazaje kwani Nina share nae Mkuu
Mimi napenda maendeleo ya mtu na moja ya maisha pia
 
Kiongozi kama haupo eneo lenye wateja weng wakutoa na kuweka,,,,ushaur wang achana na hio biashara mfano una unamuwekea mteja pesa shs 10,000/= unapata commission ya 200+ apo fikiria utafanya miamala mingap mpaka ufikishe laki 2 au 3 mwisho wa mwezi.
 
Mkuu ni sawa unachosema lakini pia kama mtaji ni mdogo pia ni changamoto
Kuhusu biashara mpya sina maana mpya ambayo haipo duniani hapana bali kama ipo sehemu nyingine na wewe umekuja nayo na kufanya mahali ambapo hailiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…