uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Wakuu! Hii ni asili, Wanaume wengi tunakosa ujanja pale tunapokutana na Wanawake wenye nidhamu na utii, hata kama wameolewa.
Ni noma sana!
Nimekutana na wakati mgumu kidogo, nimewaza sana!
Nilipewa jukumu moja la kuwa team leader. (Sio mara yangu ya kwanza kuwa kiongozi) but this time nimekuwa tempted sana tena kwa mke wa mtu.
Naongoza timu ya watu 7! Anayenifuatia ni mwanamke anakaribia miaka 40. (She is very serious)!
Ni mgeni kidogo kwenye department. Ameolewa na ana watoto watatu.
Mimi ni mtu social sana na sometimes napenda utani sana.
Ila tokea atujoin huwa hatutaniani kwa sababu ya nidhamu yake.
Mwezi May, kuna kazi iliyotupeleka mkoani karibia Wiki tatu! Hapo ndio ilikuwa kipimo cha kujua social life yake! Tulikaa pamoja kweli, kuna wakati ilitulazimu kulala vijijini huko.
Aisee kama ni heshima anajua, sijawahi ona mmeru wa hivi!
Sasa huo wakati wa wiki tatu ndio tulipata kuongea mambo kibao ya kifamilia, na mengine.
Amenizidi kidogo elimu, nimemzidi uzoefu.
So kuna wakati huwa najikuta nampa nafasi hadi ya kuamua mambo mengine bila kunishirikisha.
Na inakuwa poa kabisa.
Nakumbuka pale Terrat-Simanjiro kuna hostel tulilala ziko kama nyumba sijui ni mradi wa kanisa ule ama vipi! Ni nyumba ambazo zina Sebule na vyumba...acha kabisa! Wakati wa msosi hasa dinner tulikuwa tunakaa sebuleni.
Yule mwangalizi alikuwa anatuandalia kila kitu then yeye anasepa.
Nyumba moja ilikuwa ina vyuma vitatu. Kwenye team tuliokuwa kwenye hiyo kazi tulikuwa wanne...
Sasa alikuwa ananihudumia yeye(save) duh! Ile kitu ilikuwa inanichota mdogo mdogo hii kitu mbaya sana yakuhudumiwa (ndiyo maana watu kupita na housegirl ni chap)...
Then jioni nilikuwa napenda kunyoosha miguu, kidogo kwenye vijiji vya wamasai huko. We walk together!! Ukaribu ukawa unaongezeka.
Bora angeniacha tu walau nipate muda hata kutaniana na wadada wengine huko mtaani.
Tulikaa pale siku tano(tukamalizana na Simanjiro) kabla ya kurudi Arusha, then Karatu, kule Karatu sasa. Jioni! moja ya jamaa tuliyekuwa nae akaniambia twende Sansiro au Redstone sikumbuki vizuri (lakini ni baa maarufu karatu).
Si na yeye akasema anaenda na sisi? Ni mlokole ati!! Anyway tulishajenga timu nzuri. Tukaenda, ile kitu ilikuwa inaniadhiri sana. Kwa heshima aliyokuwa ananionyesha! I tried to keep it, pale Tulipoenda ni kama night club hivi watoto wa kiiraq kibao na wazungu wazungu wanacheza mziki.
Kuna sehemu mbili chini na juu huku chini pametulia watu wanapiga vinywaji mdogo mdogo huko juu sasa ni soundproof ndio watoto kibao. Si jamaa akaniambia twende kule juu? Nikasema hapa siagi nitoka kijanja! Nimeingia tu kule club balaa...kwa Mnaojua Karatu pale ni balaa sana.
Hakuchukua hata dakika 15 ananipigia simu uko wapi?
Nikamwambia akapumzike, akasema bado hapo ni inaenda saa 6...
Anyway nikamwambia jamaa akawachukuwe! Mwenzie mmoja alikuwa na vibe balaa...
Alivyokuja tu nikapoteza tena uhuru wangu. Just for her respect to me.
Hanywi mi nakunywa, nilijilimit kidogo ili nisishindwe kujicontrol.
Tuliondoka pale kama saa saba na nusu hivi!
Next day ilikuwa ni kucompile report kuaga kwa DED na kurudi town.
Sasa mwezi huu wa Nane tumetoka tena! Hii ndio balaa sasa ndio imenifanya hadi niandike huu uzi!
This woman haelewi kabisa ananiathiri kiasi gani.