Usituambie sisi sasa, mwambie anayehusika.Sahihi kabisa.
Itabidi na yeye aachane na mimi
Tukuchukulie maweHapo unatafuta sababu kwa nguvu ya kuhalalisha kumtafuna mke wa mtu 😹
Bichwa la chini litakuponza Uran
Mmewe akijua hatopiga bismilahi wala kwa jina la baba..!!
Adui wa mwanaume ni mwanaume..!!Balaa sana! Halafu ni mmeru
Ndo tabia yake mkuu, ndiyo maana nilitoa mahari iliyoshiba kumpataNa huko home anakuheshimu hivyo?
Sijawahi ona mmeru wa hivi
Alijikuta anajiziba na mto kitandani alijua sijui risasi ni jiwe mwamba alimtandika kweli.Ni suala la muda tu utagundua ukomo wa uzuri wake. Kila la heri na hiyo michezo yenu.
Kuna video fulani ipo mitandaoni jamaa bosi wa Bank anaomba asamehewe halafu anakula risasi za kutosha. Ilisambaa sana kipindi fulani.
"This time nimekuwa tempted sana tena kwa mke wa mtu."
Usisahau kutupa updates tu!!Umbeya tu wewe