Inahitajika Nidhamu ya hali ya juu, Kuwa Boss wa Mwanamke mwenye nidhamu na Utii

Wewe ni MPUMBAVU.

Ishi maisha yako , acha kuteseka kisa mtu mwingine ambaye hamna ukaribu wowote zaidi ya kazi.
 
Ni suala la muda tu utagundua ukomo wa uzuri wake. Kila la heri na hiyo michezo yenu.

Kuna video fulani ipo mitandaoni jamaa bosi wa Bank anaomba asamehewe halafu anakula risasi za kutosha. Ilisambaa sana kipindi fulani.
 
Acha tamaa, mbona hayo karibia wanawake wote wako hivyo!!

Hapa unatafuta tu wa kukusapoti kuhalalisha uzinzi unaotaka kuufanya.
Hapana kabisa...
Imekuja hapa imenisaidia sana.
 
Nilijua tu unatafuta validation
kwa kitu ambacho ushakiplan
Hapana mkuu!
Huwezi amini, nitamfungukia au nitajikataa kiaina! Ila naona wadau wengi hapa hawajanielewa kabisa.

Unajua yeye she looks stronger ila hajui impact kwangu..
kukaa wiki tatu bila michakato ni ngumu sana.

Tatizo ni hilo la kuwa benet na mimi na kutoelewa mahitaji yangu mengine kabisa.
 
Ukikutana na Mwanamke mwenye nidhamu na Heshima hakuna Mwanaume anachomokaga, ndio Maana watu Wana lowea bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…