CCM itapigwa na Mungu na hili halina mjadala ni suala la muda tu tumeona ni jinsi gani Mwenyezi Mungu amewatahadharisha CCM kuwa maisha ya hapa duniani kuishi kwingi ni bahati nasibu na unaweza kufia njiani wakati yale unayoyataka kuyafanya hayajatimia na pengine siku unamaliza kuyatimiza hujawahi kufaidi matunda ukaaga dunia na kubadilishwa jina kuitwa maiti.
Ubaya wa CCM umeshawafika watu shingoni ni kama kitanzi kilichokwama kufa hufi ni maisha magumu tu aka mama. Wananchi wanataka katiba CCM haisikii, wananchi wanataka tume huru CCM haisikii, wananchi wanalolifanya ni kupeleka dua nzito nzito kwa Mwenyezi Mungu.
Tatizo Mwenyezi Mungu haamrishwi na maamuzi yake anayachukua kwa wakati anaotaka, hivyo tnaweza kuona kama dua hazijaitikiwa na tunaweza kuona dua zinaitikiwa ili wengine wapate nafasi ya kujisawazisha na kujiweka na kutenda haki.
Hii korona hii ambayo inakuja kwa kasi baada ya kupiga U-turn itaondoka na wengine maana CCM wabaya ni wengi sana. Dua tu zitawatosha hakuna tena maandamano wala mikutano na mambo na dua kimya kimya tuone wao na Mwenyezi Mungu nani anaweza.