Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Inawezekana sana kama mkishirikisha akili zenu kwa ufasaha.......tatizo ubongo ume stuck kwa jina moja tu diamond........ .
Nahicho ndio kigezo Cha wadhamini
"UBongo ume stuck Kwa Diamond"
Sasa Kwa nini Coca Cola wasikutafute wewe ukawafanyia matangazo?Sister
Hatukujui bado
 
Nahicho ndio kigezo Cha wadhamini
"UBongo ume stuck Kwa Diamond"
Sasa Kwa nini Coca Cola wasikutafute wewe ukawafanyia matangazo?Sister
Hatukujui bado
atakusumbua huyo achana nae
 
Kama mliona shows za Diamond ulaya utapata jibu kwa nini ata wewe ukitaka kutangaza biashara yako mtu wa kwanza ataekuja kichwani ni Diamond labda ushindwe bei.
 
Umemjibu vizuri sana naona akili yake inawaza kukuza vipaji vya watu, wakati makampuni yanawaza kumaximize profit na hayawazi mara kuandaa na kukuza vipaji vya kina kiba
 
Tatizo ushabiki .......na hatufanikiwi kwenye mambo mengi sababu ya USHABIKI. Jambo fulani afanye fulani na si huyu.... .....nasema tena tanzania bado sana.
Bado unatumia akili ya zama za mawe ya kati wakati tupo digital age, branding ni silaha kubwa kwenye biashara lakini uelewa wako kibiashara ni mdogo nadhani utakua sio mfanyabiashara, unataka makampuni yakamtumie Haruna Moshi Boban kisa tu anacheza mpira wamwache Samatta? Haiingii akilini bado na uache kumtumia Ronaldo au Messi ukamtumie kolo toure hapana unakua unacheza na hautaki upana wa faida kwenye biashara zako.
 
As far as business is concerned in the music, to build a brand...not just brand but a powerful brand around your talent is the most important thing to do.Relying on your talent alone hoping will take you far is not enough, you have to market yourself. Try to use every resource and opportunity you got to sell yourself. That's what Diamond and most American musicians like Jay-Z,Kanye West and many others do.Unfortunately Ali Kiba is simply complacent with his talent,he doesn't make any extra efforts to market and sell it.
 
Basi tunashida sana....kama tunamtegemea mtu mmoja kwenye kutangaza biashara. Sasa hawa wengine utawanyanyuaje? Bora wangeangaliwa top 3 ya wasanii wenye mashabiki wengi.
Makampuni katika u ambassador hawafanyi u promota wa kuwaptimoti wasanii ili wanyanyuke.
Wao wanatafta wasanii walioshajinyanyua wakawaona kuptia wao malengo yao ya kunyanyua bidhaa zao na huduma yatatimia.
Sasa kama mtu kashindwa kujinyanyua atawezaje kutangaza bidhaa zako?
 

Hakuna figisu mkuu, makampuni yanafanya biashara na kabla ya kuamua ambassador wanafanya analysis, tukubali hii ni diamond platnumz era
 
Hakuna figisu mkuu, makampuni yanafanya biashara na kabla ya kuamua ambassador wanafanya analysis, tukubali hii ni diamond platnumz era
Usisahau kuwa domo anatumia adi hera ili kubania wasanii wenzake ukiwa nje ya kitu huwez jua yaliyomo ndani rejea post ya kiba ya kipindi kile ndo utagundua nn kinaendelea....watu wanadiriki kutoa adi pesa ili wenzao wasitoboe
 
ndio hili halina ubishi(labda uwe virus kichwani) diamond ni msanii anayejielewa zaidi ya wote.. pia anafaa kibiashara zaidi because ana fans wengi mpaka abroad.. so brand yako ukimtumia itafika mbali sana tofauti na hao MBULULA wengine
umejibu kishabiki wengine ss ni wapenz wa mzee yusuph
 
Aise hili tangazo lake la coca daaah nikali nilifikil katoa cngo mpya kumbe tangazo
 
Na wengine si waongeze bidii ili waonekane........
 


Watu wengine tunaomchukia domo na tumeacha kutumia vodacom
 
Hahahahaaaa kumbe upo kama mm
Mkuu huyu mond hakwepeki usipomuangalia kwe tv utamsikia kwe radio ukizima radio utamuona kwe mabango barabarani labda ujifungie ndani!!ukiacha kutumia voda kunawatu kama 100 hivi wanajiunga na voda kupitia matangazo ya mond na ubalozi wake!
Halaf sikujua ka kuna watu wana chuki namna hii wewe kama humpendi
Acha kumfwatilia manake utakufa na presha bure!!huyu jamaa kadri mnavyochukia ndo anazidi kupaa zaidi!!Halaf raha kweli kwan kwasasa sio mziki wake tu mnaochukia ndo unamlisha Ana biashara kibao ukiweka na ubalozi wa makampuni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…