certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,403
- 814
Hiyo ndo nguvu Ya 10%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahicho ndio kigezo Cha wadhaminiInawezekana sana kama mkishirikisha akili zenu kwa ufasaha.......tatizo ubongo ume stuck kwa jina moja tu diamond........ .
Mie siwaogopi hata waje na manati zao wanazolindia tembobila shaka ww ni mgomvi....mashabiki wa kiba wana stress we unawachokoza........haya ngoja waje
teh teh teh kweli unautaka ugomviMie siwaogopi hata waje na manati zao wanazolindia tembo
atakusumbua huyo achana naeNahicho ndio kigezo Cha wadhamini
"UBongo ume stuck Kwa Diamond"
Sasa Kwa nini Coca Cola wasikutafute wewe ukawafanyia matangazo?Sister
Hatukujui bado
Umemjibu vizuri sana naona akili yake inawaza kukuza vipaji vya watu, wakati makampuni yanawaza kumaximize profit na hayawazi mara kuandaa na kukuza vipaji vya kina kibaMama vodacom wanahitaji pesa kuinua mtu sio kazi yao, hata akiwa sio diamond, siku bambo akiwa star mwenye level zake vodacom wanaweza kumtumia ila kamwe hawawezi kuanza kumuandaa bambo leo awe brand ndo aitangaze voda UNACHOKIWAZA HAKIWEZEKANI MPENZI
Bado unatumia akili ya zama za mawe ya kati wakati tupo digital age, branding ni silaha kubwa kwenye biashara lakini uelewa wako kibiashara ni mdogo nadhani utakua sio mfanyabiashara, unataka makampuni yakamtumie Haruna Moshi Boban kisa tu anacheza mpira wamwache Samatta? Haiingii akilini bado na uache kumtumia Ronaldo au Messi ukamtumie kolo toure hapana unakua unacheza na hautaki upana wa faida kwenye biashara zako.Tatizo ushabiki .......na hatufanikiwi kwenye mambo mengi sababu ya USHABIKI. Jambo fulani afanye fulani na si huyu.... .....nasema tena tanzania bado sana.
Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Makampuni katika u ambassador hawafanyi u promota wa kuwaptimoti wasanii ili wanyanyuke.Basi tunashida sana....kama tunamtegemea mtu mmoja kwenye kutangaza biashara. Sasa hawa wengine utawanyanyuaje? Bora wangeangaliwa top 3 ya wasanii wenye mashabiki wengi.
Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Usisahau kuwa domo anatumia adi hera ili kubania wasanii wenzake ukiwa nje ya kitu huwez jua yaliyomo ndani rejea post ya kiba ya kipindi kile ndo utagundua nn kinaendelea....watu wanadiriki kutoa adi pesa ili wenzao wasitoboeHakuna figisu mkuu, makampuni yanafanya biashara na kabla ya kuamua ambassador wanafanya analysis, tukubali hii ni diamond platnumz era
umejibu kishabiki wengine ss ni wapenz wa mzee yusuphndio hili halina ubishi(labda uwe virus kichwani) diamond ni msanii anayejielewa zaidi ya wote.. pia anafaa kibiashara zaidi because ana fans wengi mpaka abroad.. so brand yako ukimtumia itafika mbali sana tofauti na hao MBULULA wengine
Imenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador. Hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni Diamond tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake.
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi hata huyo Diamond, kwa mfano King Kiba ndio msanii mwenye fan base kubwa hapa bongo. Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Wapo wengine wanaofaidika kama Navykenzo kampuni ya Airtel.. Ila kikubwa tasnia bado changa, maana kwa wenzetu kampuni moja inaweza kutoa dili kwa wasanii zaidi ya wanne na malipo mazuri tu..
Afu kuja kwenye suala la mashabiki kusema kiba anamashabiki wengi kuliko Diamond upo wrong, maana hata kampuni inapofanya tathmini kumpata ambassador wao lazima watizame vitu vinavyoonekana kuliko maneno maneno, kuanzia na nguvu ya msanii kwenye mitandao ya kijamii idadi ya watu wanaokufuatilia na hakuna hata anaemsogelea Diamond
Kiufupi tu, dogo anabidii sana na kazi zake na ni brand kubwa sana... Chukulia mfano dili la Vodacom, katengeneza audio kwenye studio yake, katengeneza video mwenyewe, photoshoot yeye mwenyewe, kampuni iliyoajili watu zaidi ya 25 kwanini usimpe ubalozi huyu mtu??? Na mkataba mnaandikishiana ofisini kwake yeye mwenyewe, ofisi kali mwenyewe ukiingia unatamani iwe yako
Hahahahaaaa kumbe upo kama mmWatu wengine tunaomchukia domo na tumeacha kutumia vodacom
Mkuu huyu mond hakwepeki usipomuangalia kwe tv utamsikia kwe radio ukizima radio utamuona kwe mabango barabarani labda ujifungie ndani!!ukiacha kutumia voda kunawatu kama 100 hivi wanajiunga na voda kupitia matangazo ya mond na ubalozi wake!Hahahahaaaa kumbe upo kama mm