Kiba hana ofisi hana studio huwezi kumlinganisha na diamond labda babu ayubu
Tatizo wengine maneno mengi.... NA BADO... UTAKERWA HADI UFEImenifika hapa....
Naona makampuni mengi Sana apa bongo yanampaparukia msanii mmoja tu kuwa brand ambassador hivi wasanii wengne hakuna amekuwa ni domo tu kila tangazo inakera sana hii inaleta matabaka Kati ya wasanii au kuna figisu figisu jamaa anatumia ili kubania wasanii wenzake
Ifike kipindi makampuni yatazame na wasanii wengne....coz kuna wasanii wakali na wenye fan base kubwa kuzidi ata uyo domo kwa mfano king kiba ndo msanii mwenye fan base kubwa apa bongo Ina maana makampuni hayamuoni au figisufigisu....
Mr Nice alishawahi sema kutokuwa na meneja kumemshusha sanaWatu bwana,juhudi za mtu wote tunaziona.Anavyojituma na kuwekeza awe brand imara wote tunaona.Leo akianza kupata feedback unaona anafanya figisu?!
Makampuni makubwa hayana uswahili,pale lengo ni biashara.Hawako tayar kumfurahisha mtu au kikundi fulani cha watu,wao muhimu kwao ni kutangaza bidhaa yao na effectiveness ya Tangazo kwa hadhira.
Wakati this Kid ameamua kuwa na mameneja watatu wengi waliona haina haja,leo haja imeonekana watu mnaita figisu.
"Hard work pays" ndo msemo mzuri kufungia maelezo yangu
Kiba hana cha kumchukiza mtu... Lakini diamond kakuchukiza wewe tena eti kwa vile makampuni yanamfuata.... Ni ujinga uliopitiliza..!!! Mchukie mtu kama hana faida hata kwake mwenyewe....Kwa hiyo wanaochukia maendeleo ya kiba ndo wamejificha kwa domo
Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maishaanaishi kwa mama yake...ongeza na hilo
Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
Haya taja nyumba ipo wapi...?Kiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
Ambassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yakeKiba hatakagi show off za kina domo mara cjui Nina nyumba ngpi mara nina nyuma SA yy mambo yake kimy kimy....hana ulimbukeni wa maisha
Duuuu hii si kawaidaAmbassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yake
Tuzo za kili kaweka kwenye kabati la nguo la mama, imebidi maza apunguze nguo nyingine atundike ukutani kupisha tuzo
Umeuwaaa.... hivi vitoto havinaga hoja.. wao matusi ndiyo hojaAmbassador hana nyumba bana yeye ni kama ray mzee wa maji, anaishi kwa mama yake
Tuzo za kili kaweka kwenye kabati la nguo la mama, imebidi maza apunguze nguo nyingine atundike ukutani kupisha tuzo
Balozi hana hata geto la buku ten ππUmeuwaaa.... hivi vitoto havinaga hoja.. wao matusi ndiyo hoja
Ahahahahahaa hiyo mbona bei kali, la buku tatu kwani analo..?Balozi hana hata geto la buku ten ππ
Thubutuuuuuuu labda diamond wa mtaani kwenu sio diamond platinum kijana from tandale anaejua kutafuta pesakwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
We utakuwa unaota diamond kala voda zaidi ya mil 600, dstv zaidi ya mil 150, tangazo la cocacola onja msisimko zaidi ya mil 60 alafu unasema anafanya bure? Kajipange upyakwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie
Kama anafwnya bure mnalalwma nini..??kwa sababu Diamond hana gharama...anapenda SIFA bila malipo yupo radhi hata afanye tangazo bure ili kuwakomoa wenzie