Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

Status
Not open for further replies.
Thats not true, kuna mtu kama AY , Alikiba , Lady JD etc. Tuache ubinafsi hata shuleni uwa wanachukuliwa top 3 ili kuiwakilisha shule na si mmoja tu kufanya kila kitu........

Are you serious? Do you equate this to being at school? This is business. Do you think Vodacom cares about number 2 or number 3 artists? They care about number 1. They care about the person who is going to give them the most exposure and access to millions of people. My dear, you are the one who thinks Lady JD is bigger than Diamond, but research says Diamond has more influence, has more followers and is known in so many African countries. Now, tell me who knows Ali Kiba in South Africa or Nigeria?
When Diamond was doing collabos with AKA or Donald or Davido people thought alikua anajipendekeza kumbe the guy was looking to access these big markets.
Please dont bring school politics when discussing business.
 
Uwo na wakujitolea tunataka makampuni makubwa Kama airtel tigo au vodacom coz jamaa naamini kwa kile kipaji na ile sauti akitengeneza tangazo litakuwa hit song kqbisa ebu makampuni yamwangalie king wa bongo fkava kwa jicho la tatu

Awww polee. Eti mnataka na makampuni makubwa. I am sorry Ali is just not worth that much. Ukiona kampuni hazimfuati ujue thamani ya Ali Kiba ni ndogo sana, he is just not a big brand compared to Diamond therefore he will not make money for them. In fact yeye mwenyewe Kiba cant make money for himself how much more for big companies??? His fan base is smaller, na fans wake wengi ni kama nyie hamumsaidii kumwambia ukweli mmekalia kumpamba uongo. Kizuri kinaonekana tuu muone Diamond, bidii yake ya kazi na ubunifu umemfikisha mbali.
Tell Ali Kiba kuwa na sauti nzuri hakujalishi, he needs to be creative and carry himself like a brand.
 
Fun base ya kiba ni kama ya wema sepetu tu, inamsaidia kwenye matusi hakuna hata anaepost lipstick
Go diamond go.....
 
School is just an example and mind you also school is a business.

Tuache ushabiki tuangalie na kuwainua wengine.... Sasa diamond akimwa na asiweze kufanya matangazo tena ndo watawachukua hao wengine? Lazma uwajengee uwezo na hao wengine ili siku moja upate alternative incase anything happen.
 

Wewe naona wala huelewi. I just told you, Vodacom and the other companies have no business kumnyanyua msanii mwingine. It is not their job, unaelewa? They want to do business with msanii ambaye yuko kibusiness na ana hadhi ya kubeba brand yao. Hao wengine it is up to them to work hard and get to that level. Sawa? Kama hujaelewa hapa basi pita kimya usinijibu.
 
Sister uwezo alionao diamond kajengewa na nani???
Au vodacom wamemjengea?
 
mm
"nampigiaga na zari mama latifa kipenzi changu...."
Hii sehemu huwa inanikosha sana utadhani nimeimbiwa mie
mm napenda anavyomalizia nataka nimwambie baba yako kuwa unataka kuwa shamba boy wangu.
 
Uwo na wakujitolea tunataka makampuni makubwa Kama airtel tigo au vodacom coz jamaa naamini kwa kile kipaji na ile sauti akitengeneza tangazo litakuwa hit song kqbisa ebu makampuni yamwangalie king wa bongo fkava kwa jicho la tatu
Ujue kiba ana uanti-social flani hivi waajab ndo maana makampuni hayamkumbuki sababu hata wakimpa deal uwezo wa kufanya hio promo iwe kubwa kama ile promo ya voda ya diamond ni mdogo.
Akijifunza kuchangamka atapata hizo deal lasivo ataendelea kulinda tembo [emoji13]
 
Diamond kawazidi ujanja wenzie kuwepo kwa udhamini yeye huandika proposal na kui submitted either voda na sehemu nyingine. Sasa wasanii wengine wamelala daimond ni aggressive kwenye kila jambo. Pia makapuni huangalia MTU anaye hit kwa wakati duniani ya sasa ni lazima kutafta fursa wasanii wengine amkeni acheni kubweteka na followers wa insta na kuwa na timu ushuzi while hamna kitu
 
Wanaume wa Dar wako na dada zao wanakata nyanya huku wakimuongelea diamond
 
Diamond anastahili mi mwenyewe simpendi kwa uccm wake ila jamaa anakubalika
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…